Jinsi Kikosi cha Simba kinavyoweza kupangwa akiwemo Ibraheem Jabaar

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Pamoja na kufanya maboresho kadhaa ya kikosi kwenye dirisha kubwa la usajili, Klabu ya Simba inatarajiwa kuonyesha sura ya kikosi chake kitakachopambana katika msimu wa 2026/27 wakati wa Tamasha la Simba Day, linalofanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya klabu hiyo.

Chini ya kocha Steve Barker, hivi ndivyo Kikosi cha Simba kinavyoweza kupangwa akiwemo Ibraheem Jabaar moja ya usajili unaenda kuimarisha eneo la dimba la kati pamoja na Yusuph Kagoma.

Katika mfumo 1-4-2-3-1
Kocha: Steve Barker

1. Djibrilla Kassali (GK)
2. Nathaniel Chilambo (RB)
3. Nickson Kibabage (LB)
4. Olivier Touré - (CB)
5. Rushine De Reuck (CB)
6. Yusuph Kagoma (DM)
7. Libasse Gueye (RW)
8. Ibraheem Jabaar (CM)
9. Ibrahim Doumbia (ST)
10. Clatous Chama (AM)
11. Anicet Oura (LW)

​
 
Simuoni Mchezaji wa kumuweka bench Ellie Mpanzu
 
Chama huyuhuyu?
 
Mpanzu hawezi kuanzia benchi, chukua hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…