Jinsi Kinyozi Aliyoharibu Christmas Na Mwaka Mpya Kwa Upande Wa Huku.

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Merry Christmas and Happy New Year!

Twende sawa kwa huyu kinyozi ambae hajui huwa natumia gharama kiasi gani kuhakikisha nywele zinakuwa kwenye ubora wakati wote.

Sasa juzi kwenye pita pita za hapa na pale nikasema acha nipite kurekebisha kichwa kutokana na matunzo ya nywele ya hapa na pale.

Kinyozi akadhani nami ni kijana wa kileo akapunguza kumbe akapiga dege kabisa kama kipepe.

Kulingana na kuona amekwisha haribu kazi imenibidi nipige para kabisa ili niwe sawa maana mitindo ya vijana wa sasa na mazingira niliyopo isingekuwa vyema kabisa.

Nipo na kipara changu hapa.


Wito.

1. Jitahidini kusogea nyumba za ibada kupata mawili matatu kuweza kupata maarifa ya kiroho.


Merry Christmas & Happy New Year.

Kichwa Kichafu.
 
Labda huenda alikuwa na nia ya kukisafisha kichwa kichafu ndio maana akapiga dongo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kula like kwanza, pole kwa hayo maswahibu
Then tuonyeshe picha tuone hilo para

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…