ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Mambo yako;
Najua title inavutia ila kabla sijakupa ubuyu nikuchane live kuwa mafanikio hayaji bila,mipango na bidii.
Mambo ya kwanza kwanza!!,kwa mwanamke njia rahisi zaidi ila sio kbaisa ya kuupata utajiri na kutafuta kijana tajiri mwenye bidii na maarifa ili akuoe na kwa wanaume ni kuhakikisha wewe ni kijana tajiri mwenye bidii ili umuoe msichana huyu mrembo anayetaka mwanaume tajiri.
Maisha ni mipango ni mipango yenyewe ni hii:
Karibuni

- WEKEZA KWENYE ELIMU/UJUZI: Ninaposema wekeza kwenye elimu kuna watu wanawaza Sup na Disc hapana sio kukusanya vyeti nini kukusanya maarifa.Pita JF,tembe sehemu tofauti,zungumza na watu angalie videos soma vitabun.k.Tumia muda wako wa ziada sio kulalamika na kulaumu bali kuongeza maarifa na ujuzi wako.Utafiti unaonyesha kuwa kadiri mwanadamu anapokuwa maarifa sahihi huwa kujiamini kwake kunaongezeka na mtu anayejiamini ni rahisi kufanikiwa.
- USIOGOPE KUJARIBU: Usiogopa kujaribu hasa kwa sababu ya hofu ya kushindwa au kukosea.Kila mara unapofanya jambo jipya jipe muda ujifunze hata kama utakosea fahamu kuwa kukosea ni njia bora zaidi ya kujifunza.Ninapozungumzia kujaribu namaanisha jaribu kufanya mambo ya maendeleo sio ya kipuuzi k.v.ulevi,uzinzi n.k.
- KUWA HURU NA MAONI YAKO:Ninaposema kuwa huru namaanisha kuwa na fikra huru.Usiwe mtu wa kufuata mkumbo na kuburuizwa na mawazo ya watu na mitazamo ya watu.Usiwaze watanionaje?Watasemaje?Itakuaje na vitu kama hivyo vinavyoondoa hama.Wewe kama mtu una uhuru wa kifikra na kimtazamo na usipoteze muda wako kufuatilia watu wengine iwapo hawaongezi thamani katika maisha yako.
Karibuni