Kenya 2022 Jinsi laana ya kuunga mkono Udikteta wa Magufuli ilivyomwangusha Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Punguani wa design hii ni wa kupuuzwa. Nonsense
 
Ana miaka 77, halafu washamtoa maji kichwani ni mtu wa kupungiwa saa zote.
Labda hilo la kumtoa maji kichwani kuna hoja.

Ila kiumri bado anaweza, hata Biden ana 80+ na anaongoza nchi.
 
Wote watakaofikiria, tenda, tembea, kufanya, kusifia kama matendo ya yule shetani wa chattle wamelaaniwa wote!!
 
Labda hilo la kumtoa maji kichwani kuna hoja.

Ila kiumri bado anaweza, hata Biden ana 80+ na anaongoza nchi.
Biden naye anaumwaumwa anaweza kutufia tukapata Samia wetu dakika yoyote.

Joe Biden kawa Senator kuanzia 1973 kabla mimi sijazaliwa, miaka karibu hamsini huko iliyopita. Mpaka leo yumo tu. Hawa ndio wale aliowasema Charles Makongoro Nyerere kwamba wamoo tu tangu anasoma shule mpaka leo!

Hawa wazee wangepumzika tu.
 
Jikite kwenye mada
Idiot kwani amezungumzia mapapai hapo!!

Magufuli atakutesa sana wewe na kwa taarifa yako bado anaishi kwenye mioyo ya Watanzania. Nyie endeleeni kujikomba kwa wakubwa halafu mnakuja kutunisha misuli eti wapinzani. Halafu unashindwa kumshangaa Mwenyekiti wenu ambaye anafanya yale yale ya mtu unayemlalamikia nchi jirani.

Pathetic!!
 
RUTO ni kiongozi kutoka chama kilichopo madarakani, Raila Odinga ni mgombea kutoka chama pinzani.

Mashangilio yako ni kama kushangilia CCM ikishinda uchaguzi hapa Tanzania
Kenya hakuna chama tawala inapofika suala la uchaguzi, inategemeana tu na wewe unatoka kabila gani. Baada ya KANU hakuna chama kilichokaa madarakani kwa zaidi ya awamu moja. Kila uchaguzi ukifika viaundwa vyama vingine
 
Kenya hakuna chama tawala inapofika suala la uchaguzi, inategemeana tu na wewe unatoka kabila gani. Baada ya KANU hakuna chama kilichokaa madarakani kwa zaidi ya awamu moja. Kila uchaguzi ukifika viaundwa vyama vingine
Hapana, chama kinachokuwa madarakani ndio huwa chama tawala kama kitashiriki uchaguzi uliofuata. Ikiwa chama hicho hakishiriki uchaguzi basi kutakuwa hakuna chama tawala katika ushindani. Kuhusu uundwaji wa vyama vipya kila ifikapo uchaguzi, nafikiri neno sahihi ni miungano mipya (coalition)
 
Tume ya uchaguzi inatambua chama kwa hiyo UDA na AZIMIO ni vyama. Kipi chama tawala na cha upinzani hapo?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Raila umemtuma Wajackoyah kukuombea radhi Chadema , lakini umechelewa
 
Bado unakiamini ulichoandika ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…