Jinsi Mashabiki wa Simba tunavyosubiri kwa hamu 'Thank You' ya Murtazah Mangungu

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
21,058
Reaction score
36,272
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.

Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.

Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?

Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
 
Attachments

  • 20240621_113005.jpg
    20240621_113005.jpg
    113.5 KB · Views: 1
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.

Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.

Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?

Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
Mangungu for life, haendi popote mpaka term yake ya uongozi iishe. Tena term ikiisha tunamchagua tena.
 
Mtasubiri sana. Maana sisi mashabiki wa Simba tuna imani kubwa sana na Mwenyekiti wetu.
 
Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.

Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.

Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?

Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
Mtasubiri Sana. Mangungu hatoki Leo wala kesho. Mo hawezi kuwachagulia wanachama Nani awawakilishe.
 
Wanachama wa Simba hawana sauti Ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu, wako vizuri kupiga kelele kwenye mitandao na mitaani
 
Mangungu ataondoka mwenyewe kwa hiyari yake mwakani 2025 atagombea ubunge kwao ndio mtaujuwa ukweli, sasa hamuwezi kujuwa ukweli kwamba Mwamedi hana uwezo wa kumburuz Murtaza, Murtaza ni mtoto wa mjini kwelikweli na anawajuwa vizuri Wahindi.

Mnaombeza Murtaza leo subirini aondoke ndio mtaanza kumuelewa, na wengi wasiomuelewa ni watu waliotoka mashambani huko kama Gentamasimavi.
 
Huyu Mangungo hata wazungu tu kina Vasco da Gama, David Livingstone na Karl Peters na magobole yao walishindwa kumtoa kwenye kiti wakaingia nae mkataba nyie mbumbumbu wa vibanda umiza kwetu Buza Mpalanger msiojua soka linaongozwa vipi mtamuweza wapi?

Kosa la Mangungo ni lipi wakati yeye si mchezaji? Na anatokaje kwenye kiti bila uchaguzi kufika wakati wake? .

Mbona Simba ikiifunga Al Ahly mbumbumbu tunashangilia? Basi na kwenye magumu mbumbumbu wote tumvumilie Mangungo ,yatapita tu Simba Guvu Moya ni kidume itakwaa tena ufalme wa soka Africa na safari hii tutabeba kuanzia ndondo hadi kombe la klabu bora ya dunia na sio tu ngao ya jamii.

Wanasimba tutulie tushikamane kipindi hiki kigumu tunasajili magalasa tu kina Jobe na Fred Funga funga !

Wanasimba tuendelee kumtafuta mchawi wetu ambae si Chief Mangungo!

Yajayo yanafurahisha.

Mangungu for life, mitano tena!!
 
Hao wengine hapo ni mashabiki wa Simba au mamluki?
Mangungu ana dili na uto mpk amalize dili lake ndo ataondoka...
 
Huyu Mangungo hata wazungu tu kina Vasco da Gama, David Livingstone na Karl Peters na magobole yao walishindwa kumtoa kwenye kiti wakaingia nae mkataba nyie mbumbumbu wa vibanda umiza kwetu Buza Mpalanger msiojua soka linaongozwa vipi mtamuweza wapi?

Kosa la Mangungo ni lipi wakati yeye si mchezaji? Na anatokaje kwenye kiti bila uchaguzi kufika wakati wake? .

Mbona Simba ikiifunga Al Ahly mbumbumbu tunashangilia? Basi na kwenye magumu mbumbumbu wote tumvumilie Mangungo ,yatapita tu Simba Guvu Moya ni kidume itakwaa tena ufalme wa soka Africa na safari hii tutabeba kuanzia ndondo hadi kombe la klabu bora ya dunia na sio tu ngao ya jamii.

Wanasimba tutulie tushikamane kipindi hiki kigumu tunasajili magalasa tu kina Jobe na Fred Funga funga !

Wanasimba tuendelee kumtafuta mchawi wetu ambae si Chief Mangungo!

Yajayo yanafurahisha.

Mangungu for life, mitano tena!!
Naungana na wewe mkuu, twendeni na Mangungu.
 
Back
Top Bottom