Katiba yenu kuhusu mkutano mkuu inasemajeKipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?
Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
Mangungu for life, haendi popote mpaka term yake ya uongozi iishe. Tena term ikiisha tunamchagua tena.Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?
Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
Mtasubiri Sana. Mangungu hatoki Leo wala kesho. Mo hawezi kuwachagulia wanachama Nani awawakilishe.Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?
Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
Wanachama wa Simba hawana sauti Ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu, wako vizuri kupiga kelele kwenye mitandao na mitaaniMtasubiri Sana. Mangungu hatoki Leo wala kesho. Mo hawezi kuwachagulia wanachama Nani awawakilishe.
Mangungu HATOKI hadi Uchaguzi Mkuu.Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo.
Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti.
Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu ukiwa wapi?
Labani og Frank Wanjiru Kalpana Scars Mhasibu OKW BOBAN SUNZU Dr Matola PhD redio
Mkuu punguza ukali wa maneno.Mangungu HATOKI hadi Uchaguzi Mkuu.
Lakini ndio ukweli.Mkuu punguza ukali wa maneno.
Naungana na wewe mkuu, twendeni na Mangungu.Huyu Mangungo hata wazungu tu kina Vasco da Gama, David Livingstone na Karl Peters na magobole yao walishindwa kumtoa kwenye kiti wakaingia nae mkataba nyie mbumbumbu wa vibanda umiza kwetu Buza Mpalanger msiojua soka linaongozwa vipi mtamuweza wapi?
Kosa la Mangungo ni lipi wakati yeye si mchezaji? Na anatokaje kwenye kiti bila uchaguzi kufika wakati wake? .
Mbona Simba ikiifunga Al Ahly mbumbumbu tunashangilia? Basi na kwenye magumu mbumbumbu wote tumvumilie Mangungo ,yatapita tu Simba Guvu Moya ni kidume itakwaa tena ufalme wa soka Africa na safari hii tutabeba kuanzia ndondo hadi kombe la klabu bora ya dunia na sio tu ngao ya jamii.
Wanasimba tutulie tushikamane kipindi hiki kigumu tunasajili magalasa tu kina Jobe na Fred Funga funga !
Wanasimba tuendelee kumtafuta mchawi wetu ambae si Chief Mangungo!
Yajayo yanafurahisha.
Mangungu for life, mitano tena!!
Kama ilivyo kwa Karia for life. Kwanza anatubeba sana SimbaMangungu for life, haendi popote mpaka term yake ya uongozi iishe. Tena term ikiisha tunamchagua tena.
Suala la Karia ni tofauti, huyu ni ng'ombe kabisa.Kama ilivyo kwa Karia for life. Kwanza anatubeba sana Simba