Jinsi MBS anavyoipaisha Saudia kiuchumi nje ya Mafuta

Saudia already has 46 Airbus A320 and 15 A321 aircraft on the single-aisle, and 32 wide-body A330 according to its website. Its current order book stands at 30 A320neo and 35 A321neo (15 LR variant and 15 in XLR.)

As for Boeing, Saudia flies 13 787-9 Dreamliners, five 787-10s with five more to be delivered, and 35 777-300ERs.

In 2018, the flag carrier of Saudi Arabia had announced its intention to increase its fleet to 200 aircraft by 2020.

Chezea wewe bwana mdogo visionary MBS
 
Huielewi Royal families za Saudi
Hao wana historia ya kupinduana na hata kuuwana

Hii nafasi ya Ufalme aliekuwa next ni ndugu yake wa damu mfalme ambae alikuwa Crown Prince na MBS kachukua hiyo title kibabe kwa baraka za baba yake na akmuweka kizuizini baba yake mdogo na pia binamu zake na Mfalme Salman

Umesahau alipowafunga Mawaziri na wafanyabiashara wakubwa eti kwa heshima kidogo aliwafungia Ritz Carlton Hotel zaidi ya elf moja na kuwaambia kutoka lazima kila mmoja alipe hela nyingi sana ili aachiwe na alikusanya Billions of $s

Mohamed Bin Naïf ndio alikuwa Crown Prince na ndio angekuwa Mfalme ila huyu dogo kachukuwa kibabe

Visasi wanavyo sana na ipo siku watampiga shaba tena ndugu wa karibu sana

Kumbuka Prince Faisal bin Musaid alikuwa ni nephew wa Mfalme Faisal lakini jamaa alimtwanga risasi na kumuuwa ndugu yake King Faisal mwaka 1975

History repeats itself
 
Kumbe ni mikono ya damu? ndio maana anakumbatia mabeberu
 
Aruhusu pia dini zingine kama ukristo utamalaki saudia na nchi hiyo iwe na msimamo wa wastani wa kiislam
 
Tayari Dogo ameshawadhibiti zamani na kustabilize his grip on Power. Hata yule mlinzi wa karibu wa baba yake King Salman aliyeaminika alikula shaba mwaka juzi kwa kuleta za kuleta. Hakuna wa kukohoa kwa MBS pale sasa hivi everything is under control. Prince Jajif naye kawekwa ndani.
 
Jamaa namkubali sana ktk falsafa zake
Apoingia tu madarakan akkaruhusu wanawake waendeshe magari kitu ambacho kilikuwa ni marufuku enzi za utawala wa baba yake, akaona kheri azame ktk mambo nyeti ....ila ili la jamal kashorghi
 
Samahani sijakuelewa vizuri....
Umeandika kuwa wamevunja mkataba na Brazil pamoja na Uturuki kwa ajili ya kupokea nyama na bidhaa za nyama na kuanzisha viwanda vyao wenyewe vya kuchakata Nyama pamoja na maziwa
Sijaona mahala umeandika kuwa ALIANZA KUEKEZA kwenye Ranchi za mifugo ( Ngombe/Mbuzi na Kondoo) na hata Kuku au wanatoa wapi hiyo mifugo ya kuchakata pamoja na maziwa???
Ujue Saudi Arabia sehemu kubwa ni Jangwa!
 
Jamaa namkubali sana ktk falsafa zake
Apoingia tu madarakan akkaruhusu wanawake waendeshe magari kitu ambacho kilikuwa ni marufuku enzi za utawala wa baba yake, akaona kheri azame ktk mambo nyeti ....ila ili la jamal kashorghi
Kusema kweli la Khashogi lilimpunguzia kasi. Ila sasa hivi amekua. Kwa upande mwengine kutawala Saudi Arabia inatakiwa uwe katili ili nchi iwe salama na ndio hilo bwana mdogo a alifanya. Na anaipaisha Saudi Arabia kwa kasi ya Rocket.
 
Na ndo inavotakiwa Kama kaweza kuwatuliza bas hawafai kuwa kings... Real kings strugles for the crown
 
Meaning Of Saudi [emoji1210]nenda katafute then uje hapa tena
 
Aruhusu pia dini zingine kama ukristo utamalaki saudia na nchi hiyo iwe na msimamo wa wastani wa kiislam

Kabla ya kufika hilo huyo Mfalme atakua kaisha kula shaba hawatamkawiza kule ni navyo wafahamu waarabu
 
Jamaa namkubali sana ktk falsafa zake
Apoingia tu madarakan akkaruhusu wanawake waendeshe magari kitu ambacho kilikuwa ni marufuku enzi za utawala wa baba yake, akaona kheri azame ktk mambo nyeti ....ila ili la jamal kashorghi

kama alivyo uwa jamal kashorghi naye ndio yatakayo mpata waarabu ni watu wa visasi tena vyakuridhi mtu anaridhi kisasi tusubiri muda tu
 
Kumbe ni mikono ya damu? ndio maana anakumbatia mabeberu

Yaani dogo ni katili na alijua kuwa yeye sio Mrithi wa baba yake kuwa Mfalme bali Baba yake mdogo ila kamfunga

Khashoghi kamuuwa yeye kwa Amri yake

Mashambulizi ya Yemen ambao wana mchango mkubwa sana kwa uchumi wa Saudia tangu miaka na miaka
Biashara zote Wayemen ndio wanafanya wakati wao walikuwa hawajui lolote na ni mabedui tu wachunga ngamia

Akaenda kuwauwa vibaya sana

Lakini hata Hitler ana wafuasi
 
Kwahiyo ng’ombe wanazalishwa viwandani?
 

Sasa huo ndio utawala wa kuufurahia

Hayo sio ya kufurahia
Yemen walimkosa nini mpaka kuwauwa maelfu wakati wao ndio wafanyabiashara wakubwa Saudia?

Huu uzi utakuja kufukunyuliwa siku moja kwani ndugu zake wanamlia timing tu
Huyu MBS kuna ex-security officer wao alisema kuwa MbS alisema atamuuwa King Abdallah wakati baba yake akiwa akiwa ndio makamu
Ingawa King Abdallah alifariki ndipo baba yake MBS akatawadhwa Ufalme

Kumbuka Royal Families za Saudia wanapeana Ufalme kwa mpangilio wa Ndugu wa pande zote kwa hiyo baada ya King Salman ilikuwa zamu ya Naïf

Ila dogo ana tamaa na kavunja miiko
Atakula shaba kama sio sumu
Kumbuka M Naïf alikuwa waziri wa mambo ya Nje na alikuwa rafiki mkubwa wa USA kwa muda mrefu na walikuwa wanajua huyo ndio Mfalme ajae

Yajayo yanafurahisha kaa mkao wa matanga
Nimeishi Saudia na Middle East kwa miaka zaidi ya 10 nawajua vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…