Jinsi MBS anavyoipaisha Saudia kiuchumi nje ya Mafuta

Huyu anajua nini kinaendelea Ulimwenguni. Kufuatia maazimiomengi kuhusu nishati ya ukaa, ni wazi biashara ya makaa ya mawe na mafuta ipo hatarini. Hivyo anachofanya ni Sawa kabisa. Anachukua tahadhari kabla ya hatari ijayo mbele. Kudos kwa kijana.
 
Dunia ya leo unazungumzia maendeleo ya Viwanda vya Juice na Biskut?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…