Jinsi mtu anavyokihisi kifo

Jinsi mtu anavyokihisi kifo

Twaib zattkarl

New Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
3
Reaction score
0
hivi kwenye haya maisha yetu ya kila siku tumewai kujiuliza baadhi ya njia za maisha ya akhera,

basi nimepitia nukuu moja inasema "uwe hodari na jasiri usiogope,usife moyo,kwa maana mwenyezi wako atakuwa pamoja nawe kila uendako"
 
Aliyetoa hiyo post hana ufahamu kuhusu Biblia au Quran juu ya kifo.
Biblia haijaeleza kifo kwa namna hiyo wala Quran ingawa kaegemea kwenye dini hizi mbili.
 
Mambo ya Facebook kamwe usiyalete huku bali yaache huko huko.

Screenshot_20230128-232230_Swahili%20Bible%20Offline.jpg
 
Stories za kusadikika hizo hazina ukweli wowote.

Mtu akifa harudi kwaiyo hata walioandika hizo stori ni waongo maana hawajawai kufa na kufufuka waje walete ushahidi wa yaliyowapata.

Kifo ni aina ya maisha mapya kwa kila kiumbe, unapokufa huwezi pata hisia zozote za kimwili, unapokufa muda huo huo mwili hupoteza sensing ability ya aina yoyote ile, sasa iweje huko udongoni mtu ahisi hayo mambo?.

Pili, haiwezekan siku zoote hizo kuanzia kufa mpka kuzikwa eti liwe ni tendo la kuota uo ni uongo maana kuna wanaokufa kwa moto, maji na ajali zingine je nao husubiri maziko ndipo watambue kuwa wamekufa?

Mtu anapokata moto ni muda huo huo separation ya nafsi, na roho ktk mwili hutokea na kuenda mahala pake, mfano nafsi huenda ktk ulimwengu wa nafsi zilizo nafsi za wafu wengine huko, na roho kurudi ulimwengu wa roho zilipo roho za watu waliokufa na mwili kubaki ama kupotelea dunian(udongoni)

Kwaiyo basi itoshe kusema, mtu anapokufa anakuwa kagawanywa kutoka muungano wa vitu 3(mwili, nafsi, roho) na kubaki nafsi tu ambayo ndio wew mtu ama ufaham unaoishi ndani ya mwili na baada ya kufa ufahamu huo(nafsi) huingia ktk makazi ya masubirio ya hukumu zilipo nafsi za wafu wengine.

Pia roho mahala pake, hakuna hukumu yoyote wala mateso yoyote kwa mtu anaekufa acheni kuwadanganya watu wala kuwapotosha na stories za kipuuzi za hao walioleta dini, kifo sio mateso bali ni maandalizi ya maisha mengine, kinachowafanya muogope kifo ni kutokujua unaenda wapi ama utakutana na nini na hiyo imekuja baada ya watu kuacha kusoma mafundisho ya kweli na kuangaika na mastori ya uzushi na vitisho, wengine tulishaacha hofu ya kufa maana tushatambua kuwa nini kinachoendelea baadae.
 
Stories za kusadikika hizo hazina ukweli wowote.

Mtu akifa harudi kwaiyo hata walioandika hizo stori ni waongo maana hawajawai kufa na kufufuka waje walete ushahidi wa yaliyowapata.

Kifo ni aina ya maisha mapya kwa kila kiumbe, unapokufa huwezi pata hisia zozote za kimwili, unapokufa muda huo huo mwili hupoteza sensing ability ya aina yoyote ile, sasa iweje huko udongoni mtu ahisi hayo mambo?.

Pili, haiwezekan siku zoote hizo kuanzia kufa mpka kuzikwa eti liwe ni tendo la kuota uo ni uongo maana kuna wanaokufa kwa moto, maji na ajali zingine je nao husubiri maziko ndipo watambue kuwa wamekufa?

Mtu anapokata moto ni muda huo huo separation ya nafsi, na roho ktk mwili hutokea na kuenda mahala pake, mfano nafsi huenda ktk ulimwengu wa nafsi zilizo nafsi za wafu wengine huko, na roho kurudi ulimwengu wa roho zilipo roho za watu waliokufa na mwili kubaki ama kupotelea dunian(udongoni),
Kwaiyo basi itoshe kusema, mtu anapokufa anakuwa kagawanywa kutoka muungano wa vitu 3(mwili, nafsi, roho) na kubaki nafsi tu ambayo ndio wew mtu ama ufaham unaoishi ndani ya mwili na baada ya kufa ufahamu huo(nafsi) huingia ktk makazi ya masubirio ya hukumu zilipo nafsi za wafu wengine.

Pia roho mahala pake, hakuna hukumu yoyote wala mateso yoyote kwa mtu anaekufa acheni kuwadanganya watu wala kuwapotosha na stories za kipuuzi za hao walioleta dini, kifo sio mateso bali ni maandalizi ya maisha mengine, kinachowafanya muogope kifo ni kutokujua unaenda wapi ama utakutana na nini na hiyo imekuja baada ya watu kuacha kusoma mafundisho ya kweli na kuangaika na mastori ya uzushi na vitisho, wengine tulishaacha hofu ya kufa maana tushatambua kuwa nini kinachoendelea baadae.
Umeongea vema[emoji122][emoji122][emoji122]maana mambo mengi ni ya kutishana bila sababu
 
Ujinga unapozidi kwenye kwenye ufahamu wa binadamu haya ndiyo matokeo yake.
 
Huyu Bwana Kifo yeye hana ubaguzi kama Wanadamu, Kila mtu anampa mshahara ule ule hapunji wala haongezi.

Kifo asante kwa sababu wewe ni hakimu wa kweli, Na kila mtu utamuhukumu kwa mda wake.

Nakupenda sana kifo.
 
Rest in peace, ok?
 
Back
Top Bottom