Hi Wanajamii,
Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] .
Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi imeenda shule , lakini kwa bed yaan ni utumboo utumboo tu , Demu mawenge kibao , mara cjui aseme sitakii mara nataka mara cjui nn yaan kiufupi ni miyayusho mitupuu
Hebu tu share experience yako ktk hili wana JF , Nini ulikitarajia lkn matokeo yakawa kinyume mpaka ukajua Huo uhusiano.
Uzi Huoooooooo [emoji573]