Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania.

Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania.

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
Jinsi mzunguko wa Elimu ulivyo hapa Tanzania.

01. Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school.

02. Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.

03. Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.

04. Wale waliofeli, wanaenda Ualimu na Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu wote hawana raha.

05. Wale waliopata Zero na waliokataa shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo.

Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
 
Back
Top Bottom