Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge leo wapo bungeni kuutetea mkataba upite hawana la maana wanalofanya, mpaka sasa sijamuona mtu anayewasilisha hoja za wananchi ili zijibiwe wapo kupiga makofi tu kifupi wameenda kutimiza wajibu ila maamuzi tayari yamepitishwa chumba cha uani.
Huo ukuta mara ya mwisho umepigwa rangi lini?
Zamani kidogo, ni kipindi mzee wa Msoga anapiga picha na 50 centHuo ukuta mara ya mwisho umepigwa rangi lini?
Upakwe rangi kila siku kwani ni kucha za mdadaZamani kidogo, ni kipindi mzee wa Msoga anapiga picha na 50 cent