Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jun 10, 2023 #1
Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,336 Reaction score 4,731 Jun 10, 2023 #2 Analogia Malenga said: View attachment 2652253 Click to expand... Wabunge leo wapo bungeni kuutetea mkataba upite hawana la maana wanalofanya, mpaka sasa sijamuona mtu anayewasilisha hoja za wananchi ili zijibiwe wapo kupiga makofi tu kifupi wameenda kutimiza wajibu ila maamuzi tayari yamepitishwa chumba cha uani.
Analogia Malenga said: View attachment 2652253 Click to expand... Wabunge leo wapo bungeni kuutetea mkataba upite hawana la maana wanalofanya, mpaka sasa sijamuona mtu anayewasilisha hoja za wananchi ili zijibiwe wapo kupiga makofi tu kifupi wameenda kutimiza wajibu ila maamuzi tayari yamepitishwa chumba cha uani.
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Jun 10, 2023 #3 Analogia Malenga said: View attachment 2652253 Click to expand... Huo ukuta mara ya mwisho umepigwa rangi lini?
Analogia Malenga said: View attachment 2652253 Click to expand... Huo ukuta mara ya mwisho umepigwa rangi lini?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 10, 2023 #4 Safi sana πππ
Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jun 10, 2023 Thread starter #5 avogadro said: Huo ukuta mara ya mwisho umepigwa rangi lini? Click to expand... Zamani kidogo, ni kipindi mzee wa Msoga anapiga picha na 50 cent
avogadro said: Huo ukuta mara ya mwisho umepigwa rangi lini? Click to expand... Zamani kidogo, ni kipindi mzee wa Msoga anapiga picha na 50 cent
A amy 12st Member Joined May 24, 2015 Posts 26 Reaction score 79 Jun 10, 2023 #6 Na hilo panga ndio linasuburi maamuzi sio?!
LESIRIAMU JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 9,006 Reaction score 14,536 Jun 10, 2023 #7 Mimi nimeshindwa kufuatilia. Roho imeniuma nika zima tv. Mambo ya aibu sana. Tuna takiwa tuanzishe operation futa Ccm
Mimi nimeshindwa kufuatilia. Roho imeniuma nika zima tv. Mambo ya aibu sana. Tuna takiwa tuanzishe operation futa Ccm
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Jun 13, 2023 #8 Analogia Malenga said: Zamani kidogo, ni kipindi mzee wa Msoga anapiga picha na 50 cent Click to expand... Upakwe rangi kila siku kwani ni kucha za mdada
Analogia Malenga said: Zamani kidogo, ni kipindi mzee wa Msoga anapiga picha na 50 cent Click to expand... Upakwe rangi kila siku kwani ni kucha za mdada