Jinsi nilivoachwa solemba na mpenzi wangu Valantine ya Leo

Dangote the advocate

Senior Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
136
Reaction score
154
Dar mapenzi haya huyu dada tuna mwezi .leo sasa tulipanga vizuri akitoka kwenye majivu kanisani tuonane tutoke. Ila mpaka sasa nikimpigia Simu hapokei. Hapa nilipo natamani ardhi ifunguke inizamishe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Situka kalaliwa na kidume kingine kifuani
 
Acha ujinga, mtu atoke kupakwa Majivu kanisani then aje muende kufanya zinaa? Labda km hajui dini vizuri.

Subiri siku 40 za kwaresima atarudi tu!
 
Bado siku 40 za kutokunywa pombe!..
Kumbe zinaa na pombe ni ruhksa baada ya kwaresma.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nasubiria majibu please, na ikinipendeza nihamie huko kwenye nyumba yenu ya ibada haki...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Si ruhusa
 
La kwanza nitamuachia mwenzangu lakini la pili Tunaruhusiwa kunywa pombe mradi usitinge!..Karibu Mama wa makanisa yote yajiitayo ya kristo duniani!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…