Jinsi nilivyo koswakoswa kufumaniwa na kufungishwa Ndoa ya Mkeka

Napita kwanza kidogo

stidy
 
Nilifuta kila kitu

Sent using Gun Trigger
Nabila shaka iyo ilikuwa kijijini maana ndio wanapenda izo habari na ni mjini basi mikoa ile yyawaumini wengi wa dini ya kiislamu hawapendi ujinga kbs wapo vizuri
 
Nabila shaka iyo ilikuwa kijijini maana ndio wanapenda izo habari na ni mjini basi mikoa ile yyawaumini wengi wa dini ya kiislamu hawapendi ujinga kbs wapo vizuri
Ni town tu ila familia zetu za uswahili

Sent using Gun Trigger
 
Kwa Akili zangu nnge waitia mwizi.kibao kigeuke
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ saiv ungekuwa una mke umepoteza bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…