Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
nikweli. Umakini unahitajika. Kitendo cha wewe kushinda kila mkeka ulitakiwa kukichukulia kama redflag. Pia kitendo cha kukuta uweke pesa ili utoe pesa iliyopo ulitakiwa iwe redflag,, kitedo cha pesa yako kuongezeka kwa kasi ni redflag nyingine kabla hata ya kuangalia mambo ya usajiliHata ikiwa na https unaibiwa tu kama ukiwa fala kama huyu jamaa.
Haha eti bilioni 155nikweli. Umakini unahitajika. Kitendo cha wewe kushinda kila mkeka ulitakiwa kukichukulia kama redflag. Pia kitendo cha kukuta uweke pesa ili utoe pesa iliyopo ulitakiwa iwe redflag,, kitedo cha pesa yako kuongezeka kwa kasi ni redflag nyingine kabla hata ya kuangalia mambo ya usajili
Hiyo kampun haina plugin za mobile payment.Lakini vipi hizi co. Za simu hazifanyi uhakiki kabla ya kuruhusu platform zao kutumia kuweka pesa kwenye co ambayo haipo
Aise hapo unajitakia kupigwa co za kubeti zinejaa Kila Kona we udeposit kwa lipa no sijui agent ni kutokuwa makiniHiyo kampun haina plugin za mobile payment.
Wameweka tu hapo kama geresha.
Kuhusu Jinsi gan kadeposit.
atakuwa katumiwa Lipa namba na jamaa ndio akatuma hela.
Na majamaa walivyoona hela. Bas na wao wakaingia kwa app na kwenda kwa akaunti ya jamaa na wakaweka namba za kiasi cha hela husika.
Makampuni ya simu hayahusiki hapo.
Wakat ww ulimwambia hutak hela yoyote 😂😂😂😂 unamsaidia tu coz ww ni bingwa wa kukomesha scammers.Mnanisagia kunguni Mimi mkali wa scammers
Pole sana mkuuView attachment 3674931
Tena huyu tapeli niwakibongo website ubora wake ni wachini mno 🤣
HahahahahaaaaaChai
Hapana ,hiyo kampuni ukitaka kudiposit ina kuletea Pop Up kama makampuni mengine,yaani wewe ni kuingiza password tu.Hiyo kampun haina plugin za mobile payment.
Wameweka tu hapo kama geresha.
Kuhusu Jinsi gan kadeposit.
atakuwa katumiwa Lipa namba na jamaa ndio akatuma hela.
Na majamaa walivyoona hela. Bas na wao wakaingia kwa app na kwenda kwa akaunti ya jamaa na wakaweka namba za kiasi cha hela husika.
Makampuni ya simu hayahusiki hapo.