Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nawe pia ubarikiwe boss.
nje ya mada kidogo. Kuna jambo nataka kujua kuhusu Forex trading....

Niliona kale kapicha uliweka nikaenda hangaika huko dunian kujua kanahusu nn... hatimae nimejua, ila nilitaka kujua mawil matatu kuhusu hilo... either hapa au pemben ya hapa
 
Dah ....nimekukubali kwenye hii response
 
Forex trading si kama biashara ya kufungua duka la nguo Sinza na kusubiri wateja upige faida... hii ni biashara tofauti inayoitaji skills na knowledge kubwa sana hasa katika financials, economics, global markets nk.
Je kuna vitabu vyovyote ambavyo ungependekeza watu wajisomee kwanza, ili wawe na ufahamu wa kutosha, kabla ya kuingia kwenye hii biashara ya FOREX?

Ahsante kwa msaada wako kat hili.
 
Mkuu ONTARIO asante sana kwa madini haya infact umeniongezea energy za kutosha...
Kwa kuwa umeinsist mambo yote yawekwe hadharan hutaki pm(japo napenda privacy), nalazimika kuulizia hapa hapa ushauri...

Mimi nina 20m ambazo initially niliplan kununua gari ya kutembelea (kluger). Lakini nimesoma uzi huu nimesikia mawazo yamechange kabisa...nikawaza upya, kwanini nisinunue gari ya 14m(premio) 6m nikafanyia biashara..au niahirishe kabisa mambo ya gari na kuzamisha yote mwenye biashara.

Please nishauri, nikiwa na 6m naweza kufanya nini na nikiwa na 20m naweza itumia kwenye fursa gani.
Napatikana kanda ya ziwa mda mwingi...lakini niko mobile I can be anywhere
 
Mkuu ONTARIO kuna mdau kaanzisha kundi kwa ajili ya kupeana uzoefu juu ya Forex,ninaomba utujoini kama hutojali hata kwa muda mfupi tu utupe uzoefu hata namna ya kufanya biashara ya Forex........
 
Daaaa safi sana mkuu.

Yaani tunalingana kiumri lakini mambo unayoyafanya ni makubwa ambayo sijawahi kuyawaza.

Na mimi niko chuo ila Kuna vi biashara navifanya lakini vinakosa usimamizi wangu kwa sababu ya kubanwa na chuo. Kwa hiyo haziendi kama navyotaka

Lakini kiukweli umeniispire sana

Hiyo trade forex na mimi naisubiri kwa hamu kubwa.
 
Asante kwa ujumbe mwanana wenye fikra pevu
 
Thnks brother, unachofanya kushea success story hapa ni jambo zuri sana, elimu km hii watu wanalipia pesa mingi sana ila umeamua kuitoa bila gharama..... hongera na Mungu atupe afya njema ili tuzidi kuelimishana!
 
Boss, I think this is the most touching feedback tangu nimepost hii thread. Na tayari nilishafunga uzi, nikasema sitajibu post yoyote hapa. Nimefurahi kua huu uzi umebadili watu japo kuna wachache walijaribu kuniattach.

Samahani nimechelewa kujibu, apparently nipo SA kwa wiki ya 3 sasa, and I've been moving here and there, Jozi, Pretoria, Rustenburg, Durban yani sijasettle.

Please! Kama unataka kubadili maisha yako, tenga $3000. Ingia kwa FOREX, but watch out usiingie mzima mzima. Knowledge and skills is the 1st thing you need to invest into, narudi Bongo katikati ya huu mwezi. Please send me a PM (utakua the 1st person nakujibu PM), ntakusaidia kudouble $3000 ndani ya week 2.

Cheers
 
Mkuu nami nimekutumia ujumbe wangu hapo juu unahusu Forex mkuu,unaeza nipajibu mkuu?
 
nikweli kabisa bro...usikatishwe tamaa na watu wenye negative thoughts ukaacha kutuelimisha wengine

barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…