Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Huyu jamaa ni kweli anayoyasema ila anapenda kuonekana mdogo hiyo yote ametwist ili kuendana na umri wa miaka 23 anayoitaka ila Kiukweli yupo above 25 believe me thank you.
Anapenda kuonekana mdogo kwa maslahi ya nani haswa?? Hata kama anadanganya umri mimi naona ni njia nzuri ya kukutia hasira ya kupambana zaidi.

Inakuaje kijana mdogo anakau na mafanikio ya namna hiyo na wewe umri umeenda ila humfikii
 
Huyu jamaa ni kweli anayoyasema ila anapenda kuonekana mdogo hiyo yote ametwist ili kuendana na umri wa miaka 23 anayoitaka ila Kiukweli yupo above 25 believe me thank you.

Boss! Mimi ni no. 1 fan wa facts... the deeper the fact, the stronger the opinion. Sasa ni either wewe uprove kua nina above 25 years, ama mimi niprove nina 23 years.

Na kusema kweli hua niko hivi -- kitu kikivumishwa na victim akakaa kimya, hiko kitu kinaturn kuwa ukweli. Uongo unavuma haraka kuliko ukweli.

Here is my passport as a proof. wewe pia nitakuomba either uje na proof yako au uconclude kua umeamua kuweka hadharani upvmbavu wako. sina hata muda mrf tangu nifikishe hiyo miaka 23.
 
So where is Ontario on the passport ili nijiridhishe?

Take chill pills and ignore thank you.
 
So where is Ontario on the passport ili nijiridhishe?

Take chill pills and ignore thank you.
Boss, Watu wa type yako mnakera sana. Ni busara kukaa kimya endapo huna uhakika na kitu unachotaka kuongea. Ona sasa unavyojidhalilisha, assume mkeo au mwanao angekua anashukudia hii kitu.
 
Boss, Watu wa type yako mnakera sana. Ni busara kukaa kimya endapo huna uhakika na kitu unachotaka kuongea. Ona sasa unavyojidhalilisha, assume mkeo au mwanao angekua anashukudia hii kitu.
How much chilling pills cost?
 
Wewe jamaa ni tapel sijawahi ona
Ni vyema ukieleza utapeli wake ulivyo na kama ameshawahi kukutapeli. Tujifunze hekima ya kuongea ingawa hatuonekani ila Mungu anatuona na atatulipa kadri ya husda zetu.. Hizi kelele zako ni reflection ya umaskini wako wa mali na akili na hii laana haiwezi kukuachia mpaka siku utapoachana na husda...Laana zingine za kujitafutiaga tu. Huwezi mwanaume na akili zako unakomaa tu maisha ya mtu hivi inakusaidia nini kamanda? Ukimuita tapeli wakati humfahamu ni kipi inakuongezea kwenye maisha yako? Unamuita mtu tapeli sababu tu anaongea kitu ambacho wewe hukielewi? Punguza utoto. Hii thread haina msaada kwako kuna thread nyingi tu unaweza kuchangia ambazo zinafanana na ujinga wako hii is not one of them. Kwa hiyo nenda tu kakae huko kaongee stori za Mange Kimambi, Bashite, Kufumaniana, n.k. hizo ndo unaweza ukatoa mchango constructive na ukaeleweka na wajinga wenzio. Humu unatoa tu povu sababu watembeleaji wa huu uzi wengi ni big brains au open-minded😀😀😀

Huu ndo mfano wa topic ambazo ni saizi yako 😀😀😀😀
 
Teh teh teh, alivyoshindwa yeye anataka kila mtu ashindwe, sijui kwanini watu wengine wanashindwaga kuficha upuuzi wao muda mwingine. Kila mahali mtu anataka kuweka ujinga tu.
 
nimefatilia huu uzi toka siku umeanzishwa hadi leo hii, sasa nimejua kwanini watanzania ni maskini,mtu anashindwa kutumia akili anatumia hisia,unajaribu kumlable mleta uzi tapeli kwa hisia zako za uongo??mkuu Arooni umefanya matumizi makubwa ya hisia(tena hisia za upumbavu) unataka kuharibu dhima njema ya uzi kwa kudhirisha utupu wa akili yako?ona sasa aibu uliyo ipata,petroleum chemistry ni 3years bosi,kwaniaba ya vijana wenye chachu ya maendeleo mkuu ontario uzi huu umekuwa dhahabu,usikatishwe tamaa ya kuleta nyuzi kama hizi kwa sababu ya watu wachache wanaongozwa na hisia, huku akili zao wamezikalia,,mkuu arooni use your damn brain neurons.
 
Mkuu wewe ni shida...Nimesoma uzi wote comment by comment na nimejifunza vitu vingi.

Una kipaji kikubwa sana cha uandishi, una balls za kuchangamkia fursa una ndoto kubwa sana na upo very creative

1.Niliwahi kusoma ktk gazeti la mwananchi kuhusiana na kijana wa UDSM anaye ingiza 25m kutokana na mradi wa kuku, na siri ya mafanikio ilikuwa ni kutengeneza formular yake ya chakula cha kuku, hivyo ilimsaidia sana ku cut cost za uendeshai wa mradi....wakati naanzisha mradi wangu wa kuku nilitafuta contacts za huyo kijana mchana na usiku, mpaka nika google bila mafanikio....kwenye gazeti la mwananchi walisema huyo kijana alitumia bumu kama mtaji alipo anza biashara ya kuku...kama ni wewe bwana ONTARIO naomba ujisalimishe unipe ushauri katika tasnia ya ufugaji wa kuku hasa hasa upande wa kupunguza gharama za chakula

2)Nimevutiwa pia na forex trade, ukirudi kama una extra room ya ku coach watu kwenye biashara ya forex ninaweza tenga $5000 nipate madini kwa vitendo
Natanguliza shukrani
 

Just advice ukiwa na mda kama unaona ONTARIO anachelewa kukupa majibu,browse through you tube pia soma articles na nadhani kuna lile group la FX Traders,start small dont get greedy pia in the process.
Kupitia article yake niliweza kujaribu kidogo kidogo na nilikuwa newbie/dummy starter mpaka leo ni mwanafunzi but trust me forex trading is a sure way to multiply your income.

Kila mtu ana perception yake ila watanzania naomba nikiri sisi ni wavivu wa researching na ulimwengu huu wa utandawazi bado mnakumbatia hela ambayo haikuzalishii instead of googling wat the rest of the world is doing.

Develop strategy ambayo itakupa winnings,wakati unamsubiria Ontario google na tumia youtube as ur resource point au muombe Kafman akuunge kwenye group.
Avoid online account managers mimi ni victim number moja nimeliwa dollar 200 twice na forex account managers online(sijui ni wapopo au wanani but waliweka picha za kizungu )
DISCLAIMER:Trading is a high-risk area where you can either double or even triple your capital or lose it in a few minutes. Forex Trading have several advantages that make it possible to get more profit with predictable risk.
 
Thanks, looks like ulikuwa kwa kichwa changu...nimesha fanya vyote ulivyo andika nimejiunga pia grp la wasapp...na hapa nilikuwa natafuta kitabu amazon kwaajiri ya kujiongezea maarifa, any recommendation!?
 

Boss, hiyo article ya mwananchi ambayo walitranslate kutoka article ya gazeti la The citizen iliniletea usumbufu mkubwa sana sana. Yani hawa journalists wa Bongo niliwavua vyeo wote na kuwadharau.

Kabla gazeti halijatoka niliwaambia kuna vitu wasiviandike kabisa, lkn hivyo vitu ndio walivitumia kama headlines. Yani acha tu, ningekua najua sheria au ht kujuana na Tundu Lissu tungekimbizana mahakamani.

Nashukuru sana pia kwa complements zako, kuna kipindi nilikua natamani nitumie kipaji changu cha uandishi kupiga pesa, lkn nikaona huko pesa hakuna, but ipo siku nitaandika kitabu kuhusu maisha yangu, nasubiri tu nifike level fulani ambayo sitahitaji kujiintroduce ili watu wanitambue.

... Kuhusu Forex, kaka nina dreams kubwa, ngoja niseme KUBWAA sana in capital letters ili kutia msisitizo. Na nataka kuuleta huu mgodi Bongo, afe simba afe mmasaai nitapambana na mamlaka mpk kieleweke. Nchi nyingi sana za Afrika wananchi wake wamefichwa kuhusu siri nzito ya utajiri uliopo kwenye hii biashara. Hakuna serikali wala financial institutions itakayotaka mwananchi ajue kutrade maana watu wakipata uelewa kuhusu hii kitu hakuna mtu ataingiza pesa zake fixed account, hakuna mtu ataingiza pesa zake kwenye DSE nk nk.

But all in all tutafika tu. Kama wenzetu Afrika kusini waliweza kwanini na sisi tusiweze. Nikiweka kila kitu sawa kuhusu paper works na mikataba fulani fulani then nitarudi kuanzisha uzi kuhusu hiyo kitu. Inabidi huu 'umasikini' tupambane nao kwa akili sana, tuubane mpk kwenye kona ya nyumba, tuupe kichapo aina ya 'kifo cha mende'.
 
Pamoja kiongozi, tunangoja kwa hamu hayo madini, wacha na mini nijifue mdogo mdogo kuzijua ABCs za forex trading....oyaa ni pm basi formular ya chakula cha kuku , ama niconnect na mdau uliye mwachia madesa ili nifanye site visit kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…