Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Dogo anapigwa spana twitter anaishia ku block Watu

Tatizo dogo anajiona ana akili sana kuliko watanzania wengine
 
Na waliwapiga sana humu..
By the way "ukiona unaitwa kwenye fursa fahamu kuwa ww ndio fursa yenyewe"
 
ILA ONTARIO ULIWAPIGA JAMAA..... SAFI SANA. MABWEGE HAYAISHI.
 
Kutoweka picha, si ndo kuogopa uchawi wenyewe? Wachawi wanalogea kwenye picha. Kama mi mwongo weka picha uone! 🤠🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…