Jinsi nilivyomfahamu Dkt. Rhimo Nyansaho

Baada ya kusoma na kutafakari kwa dakika 3 kuhusu hili gazeti lako, naomba nikiri kuwa wewe bado hufai kuwa/kuajiriwa kama chawa.

Nilichokiona ni kiu yako ya kuudhihirishia umma wa JF kuwa uliwahi pita Azania Bank na unawafahamu G. Mwandimila na R. Nyamsaho.
 
Sasa Nyansaho kahusikaje kama ulisumbuliwakupata mafao yako, anyway pole. nadhani tutumie jukwaa hili kumsisitiza Nyansaho kutenda haki ipasavyo. amepata lazima tumpongeze na ndio desturi yetu watanzania.
Haya mkuu nimeona watu wanamsifia Nyansaho,haya hongera yake,akachape kazi mafao ya wastaafu yakawape faraja wastaafu!
 
uhuru wa kudhania, pia si jambo baya ikiwa hivyo
 
Sasa Nyansaho kahusikaje kama ulisumbuliwakupata mafao yako, anyway pole. nadhani tutumie jukwaa hili kumsisitiza Nyansaho kutenda haki ipasavyo. amepata lazima tumpongeze na ndio desturi yetu watanzania.
Mkuu yusufu Sabura,umemsifu sana huyu Nyansaho kule kutenda kazi kwake vema!Kumuona ofisini kwake ni ngumu!Mfikishie ujumbe wangu,nimeenda Leo 02_06_2025 ofisini kule Kambarage,njia ya kuelekea UDOM,Lalamiko langu lilikuwa kupata majibu ya barua ambayo niliwaandikia tarehe 06_05_2025 yenye kutaka kulipwa mafao ya Kila mwezi baada ya kutimiza miaka 55.Cha ajabu naambiwa sistahili kwa Sababu niliachishwa kazi!Ni maelezo marefu kidogo namba yangu ni (0767358936),Nimekwazika sana na barua ya majibu hawajanipa na nilichangia miezi mia mbili na Nne(204)!Nikaambiwa ila kama ni kupunguzwa yaani redundancy!.Inauma sana .Nina mengi sana.
 
Ujumbe umeenda kwa Dr Nyansaho?!!
 
Ila jamaa yupo vizuri.
Kuanzia kichwani hadi utendaji wake wa kazi.
 
Nasikia kawaachia Neema PSSSF....nq mkopo wa mafao, means mafao yao yanawad GB amini kupata Treasury Bond

HApa unastafu ukiwa nq pension na bond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…