Jinsi nilivyopata ajira baada ya kusoma online course kwa saa sita tu

Joined
Apr 20, 2024
Posts
56
Reaction score
117
Wakuu this is my story.

Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online.

Mimi ni graduate wa shahada. Nakumbuka mwanzo nilitafuta Kazi Sana ila sikufanikiwa kupata iwe serikalini au private.

Baada ya hapo niliamua kutafuta njia ya kutoka nikaamua kutafuta Kazi za office attendant katika mashirika ya mabeberu.

Hivyo katika Elimu niliweka form four na nikaweka na short course ya online ya office management ambayo niliipata Kwa $10.40 kutoka Alison. So baada ya kila nilipokuwa nikitoa gamba langu la online nakuta imo.

Niseme kitu hapa vijana mjiongeze courses zinatolewa bure na nyingine Kwa hela ndogo. Pia course hizi zimebeba content iliyoshiba hauwezi hata kufananisha na courses za kibongo.

Kwa sasa Mimi nashukuru nipo sehemu ambayo napata chochote kitu, classmates wenzangu Leo hii nawaona wanayopata shida.

So tusizchukulie powah online courses.
 
Wakuu this is my story .

Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake.

Kuna watu mpaka Leo hii wanazichukulia powah course za online.

Mimi ni graduate wa shahada .

Nakumbuka mwanzo nilitafuta Kazi Sana Ila sikufanikiwa kupata iwe serikalini au private .

Baada ya hapo niliamua kutafuta njia ya kutoka nikaamua kutafuta Kazi za office attendant katika mashirika ya mabeberu .

Hivyo katika Elimu niliweka form four , na nikaweka na short course ya online ya office management.

Ambayo niliipata Kwa $10.40 kutoka Alison .

So baada ya kila nilipokuwa nikitoa gamba langu la online nakuta imo.

Niseme kitu hapa vijana mjiongeze courses zinatolewa bure na nyingine Kwa hela ndogo.

Pia course hizi zimebeba content iliyoshiba hauwezi hata kufananisha na courses za kibongo.

Kwa sasa Mimi nashukuru nipo sehemu ambayo napata chochote kitu , classmates wenzangu Leo hii nawaona wanayopata shida.

So tusizchukulie powah online courses.
Tupe site
 
Wakuu this is my story.

Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online.

Mimi ni graduate wa shahada. Nakumbuka mwanzo nilitafuta Kazi Sana ila sikufanikiwa kupata iwe serikalini au private.

Baada ya hapo niliamua kutafuta njia ya kutoka nikaamua kutafuta Kazi za office attendant katika mashirika ya mabeberu.

Hivyo katika Elimu niliweka form four na nikaweka na short course ya online ya office management ambayo niliipata Kwa $10.40 kutoka Alison. So baada ya kila nilipokuwa nikitoa gamba langu la online nakuta imo.

Niseme kitu hapa vijana mjiongeze courses zinatolewa bure na nyingine Kwa hela ndogo. Pia course hizi zimebeba content iliyoshiba hauwezi hata kufananisha na courses za kibongo.

Kwa sasa Mimi nashukuru nipo sehemu ambayo napata chochote kitu, classmates wenzangu Leo hii nawaona wanayopata shida.

So tusizchukulie powah online courses.
Hard copy ya cert yako uliipata baada ya muda gani na kwa njia ipi?
 
Hizo online courses huwa mnatukiwa vyeti pia au
 
Back
Top Bottom