Jinsi nilivyopigwa na kampuni la kitapeli sunrach

costadiego

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
76
Reaction score
86
Kuna wakati pamoja na maarifa mapana ya mambo ya uchumi na shahada ya uchumi unaweza kuingizwa mnini na vijana wa IT.Safari ilianza Kwa jamaa yangu Yuko njombe kunitumia list ya wanyama na bei zao uku akinishawishi kuwa yeye anapata laki na ishirini Kila siku sikuamin akanitumia miamala anayolipwa baada ya hapo na mm nikainstall hyo apps hapo ndipo nilipoingia shimoni baada yakuwekeza laki mbili wakawa wananipa elfu kumi Kila siku nikaanza kuona kama ni ishu ya maana lakini nakawa nauliza chanzo chao ni kipi Hadi waweze kulipa pesa hizo zote sikupata majibu ya kulizisha lakini Kwa kuwa maokoto yalikuwa yanaingia sikujali logic wiki ya mwisho kabla ya kampuni kutoweka kusikojulina niliwekeza million 2. zikapotea bila kuingizwa chochote.Hoja yangu hapa ni hii online ni sehemu hatari sana Kwa usalama wa pesa Kwa sasa inawezekana kwako isiwe kama ya sunranch watu watumia knowledge zao za IT sisi tuwekeze kwenye emotional control maana hizi biashara uchwara online zitaendelea kuwepo tu na Tanzania hatua hata regulatory agencies wa hizi issues .
 
Katika biashara yeyote kama hakuna product or service inayoeleweka then your the product in short ukiitwa kwny fursa Kama hii ujue wewe ndo fursa sijui lini watanzania hasa vijana wataamka na kuona theirs no free lunch juzi tu watu wamepigwa na kitu kizito kutoka kalinda leo tena kuna wengine wanapigwa kizembe hivii wake up!!!!
 
Uko sahihi kabisa mkuu .information gap na lack of emotional control
 
Unaheshimiana vizuri tu na mtu alafu anakutumia ujumbe kama huu.

Hellow my friend🫂

Mwenzio kazi yangu ndo hii ya NETWORK MARKETING ndo inayo nifanya naingiza Kila siku 20,000 Mpaka 50,000/=

Usijali ni simu Yako tu ndo inahitajika my friend 🤝 kama ukiwa tayari nambie Hapo inbox 📥 nikufunze.

Kwa Sasa mimi nipo nafanya networking 🔥 ambapo kufungua account ni 13000/=
TYPE ADD NIKUPE MAFUNZO ZAIDI.
 
Hawa walinipelekaga kwny kagorofa flani pale makumbusho na kuniletea habari zao za Network marketing nikawatwanga maswali. Wanionyeshe products wanazouza na kama Wana make profit wanionyeshe the numbers. Biashara yeyote Ina numbers ili profit ionekane cash flow lazima ionekane expenses wanazotumia na sales wanazofanya huku wakianyisha profit walizozipata kwa mda gani hili swali liliwatafakarisha wakashindwa ni convince ikabidi waniambie nisijiunge tu
 
Hawa ni waongo sana hakuna cha profits yeyote ukijiunga tu tayari umeshapoteza hela yako. Ukiitiwa fursa wewe ndio fursa.
 
Kabisa fursa haziitiwi zinatafutwa. Yaani uje uniite kwny fursa hivi hivi kirahisi km sio unajitafutia fursa kwa mgongo wangu
 
Binafsi niliwekeza hahaha washenz sana hawa watu. Asaiv sitak tena hizi biashara
 
Kuna wakati pamoja na maarifa mapana ya mambo ya uchumi na shahada ya uchumi unaweza kuingizwa mnini na vijana wa IT.Safari ilianza Kwa jamaa yangu Yuko njombe kunitumia list ya wanyama na bei zao uku akinishawishi kuwa yeye anapata laki na ishirini Kila siku sikuamin akanitumia miamala anayolipwa baada ya hapo na mm nikainstall hyo apps hapo ndipo nilipoingia shimoni baada yakuwekeza laki mbili wakawa wananipa elfu kumi Kila siku nikaanza kuona kama ni ishu ya maana lakini nakawa nauliza chanzo chao ni kipi Hadi waweze kulipa pesa hizo zote sikupata majibu ya kulizisha lakini Kwa kuwa maokoto yalikuwa yanaingia sikujali logic wiki ya mwisho kabla ya kampuni kutoweka kusikojulina niliwekeza million 2. zikapotea bila kuingizwa chochote.Hoja yangu hapa ni hii online ni sehemu hatari sana Kwa usalama wa pesa Kwa sasa inawezekana kwako isiwe kama ya sunranch watu watumia knowledge zao za IT sisi tuwekeze kwenye emotional control maana hizi biashara uchwara online zitaendelea kuwepo tu na Tanzania hatua hata regulatory agencies wa hizi issues .
Hata hawatumii knowledge ya IT bali wanatumia mtaji wa wajinga na tamaa
 
Katika biashara yeyote kama hakuna product or service inayoeleweka then your the product in short ukiitwa kwny fursa Kama hii ujue wewe ndo fursa sijui lini watanzania hasa vijana wataamka na kuona theirs no free lunch juzi tu watu wamepigwa na kitu kizito kutoka kalinda leo tena kuna wengine wanapigwa kizembe hivii wake up!!!!
NAAM, UJINGA WA MTU NDIO MTAJI WA MWINGINE
 
Hapo umekosea, ungesema online ni sehemu hatari sana kwa wajinga kama wewe!
Hii mitandao/online wengine inatufanya tunaheshimika mjini, na tuna nyumba kubwa na ndogo!
 
Back
Top Bottom