kabla hujaamua vya kuamua,mwambie utampa jibu,baada ya valentine,maana bado unakumbuka machungu yaliyopita.wasichana wengine hawana msimamo.maybe alikoenda mwaka tu,kumeshamchosha,au msumbue kidogo kumpima akili yake,maybe anataka marudiano kipindi cha valentine tu,or maybe ameshajifunza kosa lililomfanya akubwage mwaka jana