Jinsi nilivyotambulishwa kwenye ulimwengu wa video za ngono, ngono na kujichua kupitia baba yangu bila yeye kujua

Mie porn mara ya kwanza nilitazama shuleni Tosamaganga ,kwenye mikanda ya VHS enzi hizo CD hakuna.
Tunapiga nyeto hadi bao sita hiyo usiku tu.
Ha haa,
Wadau walikuwa wanasubiria TV na Deck kuanzia ijumaa hadi jumapili.
Ikifika usiku mwingi watu wamelala ngoma inawekwa mikanda ya pilau au blue.
Wakitoka hapo wanashuka mabafuni kupiga puli na baridi ile, noma sana.
 
[emoji23][emoji23]
 
Wasichana wa kazi wametuokoa wengi sana

Dada g nakumisi mno black beauty wangu
Uliondoka nyumbani kama utani ila ndio ulisepa..
Ulikua maeus
Mfupi
Na tako la kwenda
Kila j2 ulikua unanipa napita nayoo pyuuuuuuuh!
 
Mie porn mara ya kwanza nilitazama shuleni Tosamaganga ,kwenye mikanda ya VHS enzi hizo CD hakuna.
Tunapiga nyeto hadi bao sita hiyo usiku tu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
 
Shule zinafunguliwa lini??
Huyu siyo wa shule tena ameshaoa na kupata kazi yake ana familia alichofanya ni kuelimisha watu madhara ya porn na kujichua pamoja na kuchakata mbususu at the child hood.Ma legend wa hii kitu waache maana inayo madhara makubwa angalia jimsi ambavyo watu wanateseka kwa jogoo kutowika wakati wa kuchakata hata ukitumia vumbi la M Congo vipi bado tatizo liko pale pale.
 
Upigaji wa punyeto hauna madhara ya kuziua uume kusimama

Ili uume usimame unahitajika uwe na mzunguko mzuri wa damu so ukiona uume unashindwa kusimama vizuri zingatia mazoezi ya viungo na kunywa na kula vyakula vinavyoongeza mzunguko mzuri wa damu.


Mnara kusimama vizuri unabidi kujua utumie Nini lakini uume kusimama vizuri lazima blood circulation iwe vzr


Na unabidi kujua watu hupata madhara kutokana kupiga punyeto kwa kiwango kikubwa mfano mtu unapiga punyeto kwa siku mara 3 Sasa hapo lazima uume upate madhara hata Kama unafanya actual sex kwa siku mara tatu lazima utapata madhara tu

Too much of anything is harmful
 
umenikumbusha mbali sana wewe jamaa dah
 
Juzi nilikuwa naangalia kitu facebook, niliungana na magroup mengi kwa ajili yakuwahubiria, kumbe mojawapo la group la vijana kuna watu wanarusha picha za aina ile. sasa kijana wangu ana miaka kama 5 hivi huwa anapenda sana computer, akiona nimefungua anapenda kuja kuatype hata kama kwa kudonoa, na anafurahi kweli. computer ni touch hivyo amezoea kama ilivyo kwenye simu (kwasababu huwa anacheza game pia kwenye simu). wakati nimemfungulia word, nikasema nicheki dakika moja facebook kama kulikuwa na kitu, kuscrow down, lilikuja lipicha hilo, sasa yule mtoto hata kabla hajaona ilikuwa ghafla bin pu nikemsukumia huko nikakwapua ile computer. nilijisikia vibaya manake mtoto alitaharuki haelewi imekubaje baba ananipiga au kunisukuma wakati sijakosa kitu, nadhani alihisi sitaki aangalie computer yangu, alibaki amekaa kwa huzuni ananiangalia anasubiri nini kiendelee kama ni adhabu au kufukuza pale au nini? nilijisikia vibayaaa, nikajua watoto wana akili sana asipokuwa na kosa ukimuonea anahuzunika. nilipokata tu lile liukurasa, nikamchukua nikamsogeza aanze tena kutyupe, nikaona nuru ya furaha usoni na ule upendo wa mtoto kwa baba, akawa ameelewa kuwa pale kulikuwa na shida kwenye computer, alihisi sijui computer ilitaka kuungua sasa nilikuwa namwokoa manake nilishamwambia nisipokuwepo asije kugusa, hivi vilaptop huwa vimechubuka wakati mwingine unashida eneo unaona kuna hisia za kurushw ana umeme, sasa huwa kanaogopa hadi niwepo. vijana wengi wako kwenye utumwa wa picha za ngono.

mwaka mmoja nilikuwa nasoma chuo, kuna jamaa mmoja pale survey anaitwa Mushi, kitambo sana sidhan kama atakuwa hai, ila watoto wake wapo humu bila shaka. palikuwa na internet cafe pale survey karibu na kwa kakobe, nilikuwa namkuta mtoto ya huyu jamaa anaangalia picha za ngono, kwenye computer ile waliweka clips kwenye folder hivyo ni mtu kufika na kuanza kuziangalia, sasa naangalia mtoto alikuwa kama 13 au 14 kila nikienda pale hakosi namkuta, na ana wasiwasi, kuchungulia anaangalia picha chafu. nilijisikia vibaya sana.

kuangalia picha za ngono ni dhambi, na wewe unayeangalia na yule aliyezipiga mnakinywea kikombe kimoja. zaidi ya kuwa dhambi zinachafua nafsi, hakuna aliyewahi kuangalia picha hizi akimaliza asijisikie vibaya, hata punyeto, ukimaliza tu unajisikia hukumu moyoni, zote ni dhambi. wengi watasema imeandikwa wapi? kimaadili tu hata wewe mwenyewe unaelewa, ndio maana mnaangalia kwa kujificha, pia Roho Mtakatifu anatufunuliwa kuwa hiyo nidhambi, kuna mambo hayajaandikwa kwenye Biblia ingeandika yote biblia ingekuwa kubwa sana, mengine Yesu alisema Roho Mtakatifu atatufundisha na kutuongoza kujua yepi mazuri na yepi mabaya. KUUTAZAMA UCHI WA MTU NI DHAMBI.

Hab 2:15 SUV​

Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!

Tit 2:11-12 SUV​

Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa
 
KUUTAZAMA UCHI WA MTU NI DHAMBI. agano la kale hapakuwepo na teknolojia ya kutazama uchi wa watu kama kwa kutumia simu au computer. watu walikuwa wanalewesha mwanamke, akishalewa wanaangalia uchi wake, manake utauangaliaje akiwa na akili timamu. hiyo nayo ilikuwa ni form ya porn. ni dhambi.

HABAKUKI 2:15 imeandikwa, Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!

tunaona hata katika makabila yanayotembea uchi, wanawake huwa wanaficha ile sehemu. makabila hata ya porini kabisa, dunia nzima, huwa yanaficha sehemu za siri. nimeweka mstari mmoja tu, ila ipo mingi, porn huwa inachafua nafsi, inafanya pia umtamani yule mwanamke unayemwangalia kwenye porn, na ukimtamani tu Yesu alisema umekwisha kuzini naye. wote wanaoangalia porn, Mungu awasaidie mfunguliwe kwenye kifungo hicho, kwasababu kama hamtaokoka, ni motoni moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…