Jinsi nilivyouziwa simu-mche wa sabuni pale stend ya Ubungo

2007 nilikuwa kijijini kwetu kindi ninaota moto huku napewa hekaya za zamani hzo
 
Niliuziwa hiyo kitu nikiwa form 2, kwa shilingi 17,000, siamini kama ni dawa sababu yule jamaa aliyeniuzia alinifuata tena ili aniuzie sema sikumjibu

Kama ingekuwa ni dawa basi libgekua zoezi endelevu
Ungemjibu angekuibia Tena, Kosa la jinai ni kuanzisha nae maongezi au kukugusa bega au mkono
 
Hapo Sema nilikuwa fala habari ya kupumbazwa haipo , sisi wa mikoani tuna Shida Sana ya kutamani vituu,unanunuaje kitu bila kupanga, n
 
Pole Sana mkuu,dawa yao usianzishe nao mazungumzo,kuna kupindi walikua wanatega nje kidogo ya ATM,ukitoka tu wanakudaka sijui hv sijui vile ukiwajibu tu kimekulamba!!
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Waambie kuna chemical inaitwa scopolamine burundanga hiyo ni noma.
 
Your browser is not able to display this video.


☝️Dar Eś Salaam kawaida, kila siku watu wanapigwa na simu kwa namna moja au nyingine.

Inabidi uzibuke haraka.
 
Dah aisee ilishawahi kumtokea mwanafunzi mwenzangu wakati tunasoma high school Mbeya. Aliuziwa sabuni kwa 20,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…