Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Miss Tanzania 2010 GENOVIVA MPANGALA, SIJAWAHI KUMTAMKIA KUMPENDA JAPO NILIKUWA NAMTAKA KIMAPENZI.
Mimi Deo Kisandu, Nakumbuka ilikuwa kati ya Mwaka 2012 au 2011 tulikutana Lushoto, Tanga akiwa na Wazazi wake wote wawili, alifikia nyumbani kwao rafiki yangu Bw.Germano Mbelwa na nilimpenda kweli siku nilipomuona na tulisalimiana lakini mazingira yalikuwa magumu kumpata maana alikuwa na wazazi wake hata tulipo kuwa ndani tumekaa macho yangu yalizimia kwake mara kwa mara, nilijaribu kuomba walau namba yake ya simu lakini niliambiwa akiondoka tapewa.
Pamoja na yote waliondoka Lushoto baada ya siku mbili na nilipo jaribu kumuomba namba rafiki yangu alinionea wivu sana na hakutaka niwe shemeji yake. Nilipo kuja Mwanza kikazi alinipigia simu akaniambia Genoviva yupo chuo SAUT mtafute, nilikata tamaa kutafuta MTU bila mawasiliano, nikajua tu kaka yake hataki.
Ukiona ndugu wanasuasua usilazimishe kuwa na mwanamke huyo maana hata ukiwa naye hutakuwa na kibali, nikaamua kupotezea mpaka Leo. Mimi naendelea kumtafuta Miss Universe 2010 Helen Dausen na uhakika ana kibali cha Mungu ili mradi macho ya rohoni yanamuona vizuri sana hata kama nitapokonywa kabla sijampata.
Deogratius Nalimk Kisandu
29 Desemba 2017.