Jinsi nilivyozimwa kuwasiliana na Miss Tz 2010 Genoviva Mpangala.

Tutaanza kukamata wanaume wanaonunua
Mkuu Tmuller hii vita ni ngumu sana. Wengi wamejaribu ila wameshindwa na baadhi yao wamekuwa wateja wazuri. So hapa ni full kuwazoa na siku hizi unaweza ukazoa hata zaidi ya mmoja ili ukale kama bufee.
 
Hahaaa.... Kumbe hata Tilapia wapo? Kuna jamaa huwa aninisimulia vituko vyao ikiwemo wizi
 
Mkuu mtemi kisandu nakukubari kinoma sema kuna watu wanakubania hadi ukamkosa maria Obama, kama vipi mkazie huyu miss atakuelewa tu!
 
Hapa ndio unanichanganya mdogo wangu Deo,mimi bado nilikua najipanga tupeleke ng'ombe kwa Obama inakuaje unarudi nyuma mdogo wangu duh.
 
Ngoja nibadili avatar kuna kibaka kakopi avatar yangu.
 
Hahaaa.... Kumbe hata Tilapia wapo? Kuna jamaa huwa aninisimulia vituko vyao ikiwemo wizi
Mkuu kuchukua hawa watu ni kama kujitoa muhanga. Wengine wanaweka madawa ya kulevya kwenye chuchu so ukijifanya unajua kupiga hoteli za watoto hapo ndo umeliwa yaani utaibiwa mpaka boksa. Dili ni kuingia nae bafuni kwanza then show inafuata.
Hahaaa.... Kumbe hata Tilapia wapo? Kuna jamaa huwa aninisimulia vituko vyao ikiwemo wizi
 
Ninachofikiri ni jinsi gani anajisikia bwana Mbelwa anapo ona jinsi ulivyo wehuka kiasi hiki....unaweza ukawa unaigiza kuwehuka lakini nina hakika umesha wehuka kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…