Jinsi nilvyoweza anza biashara yangu na kuaacha kazi

Umetumia miaka 7 kuweza kujiajiri kwenye duka la vifaa vya simu.

Kule IG kuna mtu ametumia miaka 7 kuengeneza mifereji ya pesa inayomuingizia 70M+ kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuendi kwa mifano kama hio brother.

Huyu jamaa atafika mbali sana kwa biashara yake hio.

Kikubwa ni amejiajiri.

Vipi ushapata kazi ya laki mbili uliyokuwa unaitafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…