Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuu nashukuru kwa kunitia moyoDah ulipambana kaka
Big up najua kesho yako itakuwa bonge la stori itakayowavutia wengi
Na njia yako itakuwa kwa wengi kujifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ni baba wa familiaUmeoa??
Asante mkuu
Wewe habari yako ikoje mkuu?
Yeye ametuletea yake. Ukiweka yako itasaidia wengi badala ya kumbeza.
Hatuendi kwa mifano kama hio brother.
Huyu jamaa atafika mbali sana kwa biashara yake hio.
Kikubwa ni amejiajiri.
Vipi ushapata kazi ya laki mbili uliyokuwa unaitafuta?
Nisamehe madam.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani katika watu huyu kaningusha sana leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wanapenda stor ambazo hazina uhalisi ukileta uhalisi wanaanza kubeza tu
Mguu wako sio haba..Hongera sana mndali!..umeniinspire kwakweli!somo hapa ni kutokata tamaa no matter what!
Mguu wako sio haba..Hongera sana mndali!..umeniinspire kwakweli!somo hapa ni kutokata tamaa no matter what!
Asante mkuu ni kuendelea kupambana tuHongera sana mndali!..umeniinspire kwakweli!somo hapa ni kutokata tamaa no matter what!
Asante mkuu nashukuruCongrats saana mkuu.
Ndio binadamu tuwavumilieUsiishie kusema wanakubeza tu..wanaweka hate live[emoji28]!
Unahaaribu mada mzee babaMguu wako sio haba..