Jinsi ninavyo mla,

Jinsi ninavyo mla,

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
191
Nampaka chumvi,kisha namuandaa mezani namla upande huu,nikimaliza namgeuza upande mwngne,anashombo sana lazima ninawe,huyo SAMAKI jins anavyoliwa,maana anavpande vitatu
 
Kwanini huo ujumbe usinge uweka huko facebook mana hautusaidi tena wala haujengi zaidi ya kuhalibu madili.usijenge chuki nami huo ni mtazamo wng
 
usile mwenyewe vipande vyote vitatu gawia na wenzako maana kula peke yako ni dalili za ufisadi.
 
Kwanini huo ujumbe usinge uweka huko facebook mana hautusaidi tena wala haujengi zaidi ya kuhalibu madili.usijenge chuki nami huo ni mtazamo wng

joseph usiwe kama mfungwa aliye jela anaona vidirisha vdogo kwa juu haoni mbali,kwan samaki unamlaje?umepata maana ipi?itakuwa hujui kiswahl au ulikimbia somo la kiswahli,
 
Samaki huyu ni kama yule wa Off Side trick waliomwimba, watoto wa Kizenji?
 
joseph usiwe kama mfungwa aliye jela anaona vidirisha vdogo kwa juu haoni mbali,kwan samaki unamlaje?umepata maana ipi?itakuwa hujui kiswahl au ulikimbia somo la kiswahli,
Lakini Prakatatumba ebu weka CV yako umekuwa ukiitembelea JF muda wa kipindi gani kabla ya kukata shauri kuwa member, nina maana from intro to thread!
 
utakuwa unausingz tu,pumzika,kwani samaki ni nini?

Jamani si samaki tu kama papa? Jipapa! Kipapa! Na wengineo tatizo la kusoma shule za 'saints nanihii' hilo! Hata lugha nyepesi inakuwa taaaabu kuipata! Ndo maana mnapewa offside trick!
 
Nampaka chumvi,kisha namuandaa mezani namla upande huu,nikimaliza namgeuza upande mwngne,anashombo sana lazima ninawe,huyo SAMAKI jins anavyoliwa,maana anavpande vitatu

Wakina nanihii wanasema BOJO BOJO IYOO MAWEEE
 
Back
Top Bottom