prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
............mweh!
Mbaona kila kitu facebook? EbooKwanini huo ujumbe usinge uweka huko facebook mana hautusaidi tena wala haujengi zaidi ya kuhalibu madili.usijenge chuki nami huo ni mtazamo wng
Kwanini huo ujumbe usinge uweka huko facebook mana hautusaidi tena wala haujengi zaidi ya kuhalibu madili.usijenge chuki nami huo ni mtazamo wng
usile mwenyewe vipande vyote vitatu gawia na wenzako maana kula peke yako ni dalili za ufisadi.
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa thanx .............bah!ukienda mtwara wanasema,bah!
Samaki huyu ni kama yule wa Off Side trick waliomwimba, watoto wa Kizenji?joseph usiwe kama mfungwa aliye jela anaona vidirisha vdogo kwa juu haoni mbali,kwan samaki unamlaje?umepata maana ipi?itakuwa hujui kiswahl au ulikimbia somo la kiswahli,
Mbaona kila kitu facebook? Eboo
Lakini Prakatatumba ebu weka CV yako umekuwa ukiitembelea JF muda wa kipindi gani kabla ya kukata shauri kuwa member, nina maana from intro to thread!joseph usiwe kama mfungwa aliye jela anaona vidirisha vdogo kwa juu haoni mbali,kwan samaki unamlaje?umepata maana ipi?itakuwa hujui kiswahl au ulikimbia somo la kiswahli,
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa thanx .............bah!
Samaki huyu ni kama yule wa Off Side trick waliomwimba, watoto wa Kizenji?
pande za kilimanjaro wanasema KIRUUU!!! NGA STUKAA
Najuuuta kukukaribisha JF!
utakuwa unausingz tu,pumzika,kwani samaki ni nini?
Nampaka chumvi,kisha namuandaa mezani namla upande huu,nikimaliza namgeuza upande mwngne,anashombo sana lazima ninawe,huyo SAMAKI jins anavyoliwa,maana anavpande vitatu