Jinsi ninavyo mla,

Jamani si samaki tu kama papa? Jipapa! Kipapa! Na wengineo tatizo la kusoma shule za 'saints nanihii' hilo! Hata lugha nyepesi inakuwa taaaabu kuipata! Ndo maana mnapewa offside trick!

wamesoma shule za apple,zile please teacher may i go have ice-cream,wakat s tunasema ashkrimu
 
Haya bwana prakata windek!asante kwa kunitasababisha!
 
joseph! wewe ***** kweli embu tutolee fikra zako za ki pepo! una pepo nini? jiheshimu bana.
 
Nampaka chumvi,kisha namuandaa mezani namla upande huu,nikimaliza namgeuza upande mwngne,anashombo sana lazima ninawe,huyo SAMAKI jins anavyoliwa,maana anavpande vitatu

Wanyaturu husema yu! yu!
 
Du jamaa anafaidi, kula kwa nafasi....baada ya kumwekea chumvi...au sio samaki huyo?
 
joseph! wewe ***** kweli embu tutolee fikra zako za ki pepo! una pepo nini? jiheshimu bana.
kweli ww unapepo ngoja nikuitie mchungaji humu akuombee maana damu yako imechanganywa na pepo la kufikiri mabaya kwani samaki ni nn?hujawahi kula weye??????/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…