Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Natumaini hamjambo! Poleni na misiba ya wapendwa wetu - Kariakoo.
Baada ya kukutana na maigizo mengi sana kutoka kwa watu (ndugu, mpenzi, marafiki na jamaa) niliyumba sana. Nilihisi dunia imenigeuka. Kwakweli usaliti ni mwingi sana sana.
Nilianza kutokula na kulala sana. Kuna kipindi kigumu nilipitia, nadhani ni mpango wa kunifanya niwe strong.
Ndani ya mwezi mmoja ndo nilikuja kupoteza rafiki yangu amnaye tangu utotoni mpaka leo 20's tumekuwa wote. Ananijua namjua zaidi ya nduguze. Pia, nikapoteza shemeji yenu ambaye nilikuwa namkubali sana. Mwisho kabisa, nikazinguana na bimkibwa. Tangu nizaliwe mpaka leo naishi maisha yangu ndo nakuja kugundua kuwa anayemjua baba yangu mzazi ni bimkubwa peke yake. Na hii ni baada ya kukorofishana na ndugu. Baada ya kumbana bimkubwa nakuja kujua ukweli lakini huyo baba ameshafariki miaka kadhaa na mamjua. Na mbaya zaidi yule rafiki yangu wa utotoni ambaye haziivi ni mtoto wa huyo baba. Maana yake yule ni ndugu yangu.
Baada ya kuona nazidiwa na stress nilianza kunywa pombe. Na kujifungia ndani. Kuna siku kidogo ziniue. Ndo akili yangu ilirudi na kitafuta njia mpya ya kufurahia hiki kipindi kilichabaki.
*Unywaji maji mengi sana
*Ratiba inayoeleweka
Changamoto ilikuwa ni usiku. Maana naishi peke yangu. Upweke
*Nikafuta social media zote (Whatsapp, Insta, nk) sikutaka jua nani anaendeleaje.
SASA
maisha yangu yamebadilika. Na kwakweli nayafurahia. Mpaka watu wananiambia nimebadilika. Haya ndo maisha yangu sasa:
* Nalala na kuamka mapema. Hii inanifanya nijihisi mwenye nguvu muda wote sio kama zamani.
*Nasikiliza mziki. Hii ni tabia yangu ila kuna mabadiliko. Sisikilizi kila wimbo kama zamani. Wimbo wangu pendwa kwa sasa ni Kandaha - Obsession.
*Namaindi harakati zangu. Sina tena muda wa kupiga soga zisizo na maana kama zamani. Hii inanifanya kutokukwaruzana kwenye mazungumzo.
* Nimejikuta mwenye huruma sana. Hii imeongeza wateja kwenye eneo langu la kazi. Maana wateja nawapa extra service tena kwa amani. Zamani nilikuwa natanguliza hela sana.
*Siitaji kupendwa tena na sipendi mtu awe karibu yangu au kuzungumza na mimi nikitoka kazini. Siamini tena kitu kinaitwa mapenzi, hata mama yangu mzazi simuamini bali kumpenda mtu.
*Najiona kama nimeshafanikiwa. Hela zangu zinakaa. Maana sinunui Vocha sana. Situmi hela kwa mwanamke yeyote wala kuspend na marafiki.
* Sipigi ny*to wala kuwaza wanawake. Hata huo muda sina na sina vyanzo.
*Hili la mwisho ndo silielewi. Siko tena emotional. Sicheki, kukasirika labda kutabasamu. Kuna sehem nilienda nikawakuta watu, nikapiga nao story. Kesho yake nilipita pale nikawakuta wote wakanisalimia shikamoo wakati nikicheki ni kama sijawaacha sana. Nilimuuliza jamaa mbona wananisalimia? Jamaa akanisanua kuwa nakaza sana. Yani niko serious muda wote mpaka mtu anahisi unamchunguza.
Asanteni.

- Nilitengeneza Playlists zangu za kusikiliza. Zilikuwa nyimbo za vibe. Maana niliona nikisikiliza emotional zitanirudisha kule.
- Nilianza kusoma riwaya kama chizi. Japo ni msomaji mzuri ila muda huu nilizidisha