Jinsi ninavyopunguza uzito na mafuta ya mnyonyo

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Hakika sipendi unene, ila ndio ivyo unakujaga tu wenyewe.

Ila uzuri mimi sina kitambi ila ndo hivyo nimeongezeka uzito.

Ili kupunguza uzito basi hutumia mafuta ya mnyonyo nakunywa kijiko kimoja kwa wiki mara mbili nalamba na ndimu na baada ya muda nakunywa maji vuguvugu.

Sasa huu mziki nilianza nao jana jamani niliharisha ila haikuwa sana.

Nilivyo mbishi nikaamka nao tena nikanywa tena leo aisee nimeharisha mara nyingi.

Ikumbukwe kuwa ukinywa haya mafuta usitoke kwenda mahali ukae ndani.

Usisahau pia kunywa maji kwa wingi ila ya uvuguvugu ili uchafu utoke.

Na ukitaka kukata kunywa maji baridi...


Sasa hapa najipa wiki 2 tu narudia kamwili kangu kazuri...

Hata kama hupunguzi uzito unaweza ukawa unakunywa kwa kusafisha tumbo

NB: kama unajua unamatatizo ya kupungukiwa maji au unamagonjwa makubwa usinywe...

Nitaleta mrejesho
 
Ulifanikisha kupungua kilo ngapi
 
๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐œ๐ก๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ก๐š๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š
 
Naomba picha ya hayo mafuta dear
๐ง๐ž๐ง๐๐š ๐ฉ๐ก๐š๐ซ๐ฆ๐š๐œ๐ฒ ๐ฎ๐ค๐ข๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฎ๐๐ก๐š๐ข๐Ÿ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ฎ๐ญ๐š๐ฃ๐ข๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐š ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข. ๐”๐ฌ๐ข๐ง๐ฒ๐ฐ๐ž ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐ฏ๐ข๐ฃ๐ข๐ค๐จ ๐ฏ๐ข๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ข ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฉ๐ข๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ข๐ณ๐ข๐๐ข ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข๐ง๐ข.
 
Hivi ndo hayo hayo ya kupaka? Natumia app Pic haifunguki
 
Funga/kushunda njaa mchana ndo njia bora ya kupunguza mwili....uku ukimentain chakula unachokula..
 
Unaharisha kizungu tumbo haliumi...
 
Kijiko ni kimoja tu...

Kwa wiki mara 2
 
Atoto kinyonyo njoo huku ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ฌ
 
Tatizo si unene bali ni ulafi; usipo acha ulafi utaharisha sana na kamwe huwezi kupungua uzito.

Yanini kurisk afya yako kwa kuharisha, wakati unaweza kupungua uzito kwa kupunguza na kucontrol chakula unachoweka mwilini?
 
Tatizo si unene bali ni ulafi; usipo acha urafi utaharisha sana na kamwe huwezi kupungua uzito.

Yanini kurisk afya yako kwa kuharisha, wakati unaweza kupungua uzito kwa kupunguza na kucontrol chakula unachoweka mwilini?
Unene mwingine ni asili Wala sio kula, tunajubana wapi hatupungui...
 
Tatizo si unene bali ni ulafi; usipo acha urafi utaharisha sana na kamwe huwezi kupungua uzito.

Yanini kurisk afya yako kwa kuharisha, wakati unaweza kupungua uzito kwa kupunguza na kucontrol chakula unachoweka mwilini?
Hakika umenena,unaweza hata kupoteza maisha kwa kuharisha sababu maji mwilini hupungua sana ,kuacha vyakula vya wanga na sukari ndio njia yangu salama niitumiayo kupunguza uzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ