Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Hakuna unene usiopungua ,ukiacha kula wanga na sukari utaona maajabuUnene mwingine ni asili Wala sio kula, tunajubana wapi hatupungui...
Haha muhimu uwe na flat tummy ili kishape kionekane vizuri myAiseeeh!!! Mie kuhara hapana jamani๐๐
Ngoja kwanza tuweke kikao cha dharura na hiki kitambi tuone tunafanyaje.Haha muhimu uwe na flat tummy ili kishape kionekane vizuri my
๐ ๐ ๐ Fanya hivyo utanoga sana wallai. Hujui tu yaani ๐๐Ngoja kwanza tuweke kikao cha dharura na hiki kitambi tuone tunafanyaje.
Unene wa asili? There is no such thing.Unene mwingine ni asili Wala sio kula, tunajubana wapi hatupungui...
fungua kwa kutumia web viewHivi ndo hayo hayo ya kupaka? Natumia app Pic haifunguki
Is this a question or statement?Unaharisha kizungu tumbo haliumi...
Kuharisha kwake balaa.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Hakika sipendi unene, ila ndio ivyo unakujaga tu wenyewe.
Ila uzuri mimi sina kitambi ila ndo hivyo nimeongezeka uzito.
Ili kupunguza uzito basi hutumia mafuta ya mnyonyo nakunywa kijiko kimoja kwa wiki mara mbili nalamba na ndimu na baada ya muda nakunywa maji vuguvugu.
Sasa huu mziki nilianza nao jana jamani niliharisha ila haikuwa sana.
Nilivyo mbishi nikaamka nao tena nikanywa tena leo aisee nimeharisha mara nyingi.
Ikumbukwe kuwa ukinywa haya mafuta usitoke kwenda mahali ukae ndani.
Usisahau pia kunywa maji kwa wingi ila ya uvuguvugu ili uchafu utoke.
Na ukitaka kukata kunywa maji baridi...
Sasa hapa najipa wiki 2 tu narudia kamwili kangu kazuri...
Hata kama hupunguzi uzito unaweza ukawa unakunywa kwa kusafisha tumbo
NB: kama unajua unamatatizo ya kupungukiwa maji au unamagonjwa makubwa usinywe...
Nitaleta mrejesho
vijiko viwili at once alafu unywe supu au uji hapo hapo wacha wee usitoke karibu na choo kwa muda wa masaa mawili + yaani fanya siku ambayo sio ya safari maana utaaibika. Na ukienda sio kwa sauti hiyo mara ๐๐๐ซ๐๐๐ก๐๐๐ก๐๐๐๐, ๐๐ก๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข, ๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐๐ซ๐, ๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ก! ๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ก!๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ก! ๐ฉ๐ฐ๐๐๐๐๐! ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ค๐ข๐ข๐๐ฎ ๐ค๐ข๐ข๐๐ฎ ๐ญ๐จ๐จ๐๐ฎ ๐ญ๐จ๐จ๐๐ฎ ๐ญ๐จ๐จ๐๐ฎ. ๐๐ฃ๐จ๐จ ๐๐ ๐ง๐ค๐ฎ๐๐ฆ๐๐ข๐Kijiko ni kimoja tu...
Kwa wiki mara 2
๐๐ง๐ ๐๐ฅ๐ข๐ ๐ฉ๐ข๐๐ก๐ ๐ก๐๐ฉ๐จ ๐ฃ๐ฎ๐ฎ, ๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐ง๐ข ๐๐๐ฐ๐ ๐ง๐ฒ๐ฐ๐๐ฅ๐ ๐ฉ๐ข๐ ๐ก๐ฎ๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ก๐๐๐ข ๐ฎ๐ฉ๐๐ซ๐Haya mafuta ya mnyonyo yapo ya aina nyingi, Kuna ya nywele pia, hivyo inabidi uende pharmacy ndio yanauzwa haya ya kunywa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we kweli unajua balaa lakevijiko viwili at once alafu unywe supu au uji hapo hapo wacha wee usitoke karibu na choo kwa muda wa masaa mawili + yaani fanya siku ambayo sio ya safari maana utaaibika. Na ukienda sio kwa sauti hiyo mara ๐๐๐ซ๐๐๐ก๐๐๐ก๐๐๐๐, ๐๐ก๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข๐ข, ๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐๐ซ๐๐ฉ๐๐ซ๐, ๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ก! ๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ก!๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ก! ๐ฉ๐ฐ๐๐๐๐๐! ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ซ๐ข๐๐ก๐ข ๐ค๐ข๐ข๐๐ฎ ๐ค๐ข๐ข๐๐ฎ ๐ญ๐จ๐จ๐๐ฎ ๐ญ๐จ๐จ๐๐ฎ ๐ญ๐จ๐จ๐๐ฎ. ๐๐ฃ๐จ๐จ ๐๐ ๐ง๐ค๐ฎ๐๐ฆ๐๐ข๐
Kwa hiyo ushapungua ngapi..nikaitafute[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we kweli unajua balaa lake
Hadi umecheka njoo PM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we kweli unajua balaa lake
kama ni statement (declarative sentence) haina majibuStatement