Jinsi ninavyotengeneza Websites zenye mvuto bila ujuzi wowote wa Coding (Hatua kwa Hatua)

Yap umetisha sasa vipi kuhusu kutengeneza mobile app inawezekana kwa mtindo huo huo

Hapana kwa kweli, ila kwa njia hii unaweza kuifanya website iwe na muonekano wa utofauti kwenye simu.
 
Naomba niulize kuna faida na hasara gani ya kununua domain name na hosting katika kampuni moja badala ya kununua kwenye kampuni tofauti.
 
Ubarikiwe sana, una nafsi njema na mapenzi ya dhati kwa jamii
 
Naomba niulize kuna faida na hasara gani ya kununua domain name na hosting katika kampuni moja badala ya kununua kwenye kampuni tofauti.

Faida unayopata ukinunua kwenye kampuni nyingine ni kuwa na Control kubwa na Domain yako, ila hasara ni kwamba kama kampuni ile nyingine ikawa imefeli kwenye ufundi inamaana website yako itashindwa kuonekana kupitia hiyo domain.

Ukinunua domain kwenye kampuni hiyo hiyo unayotumia host inakuwa ni salama zaidi na pia hata kufanya setup ni rahisi zaidi, sema tu huna control kubwa na domain yako mfano hosting yako ime-expire na huna hela ya kuendelea kulipia iyo hosting unataka utafute hosting ya bei chee zaidi, ndo utumie ... lakini unakuta huwezi ukahama mpaka ulipie kwanza iyo hosting iliyo-expire ili upate kuingia na kubadili taarifa.
 
Nashukuru sana kwa jibu zuri. Naomba kuuliza swali lingine, kuna sheria inayotaka kusajiri website hapa Tz... je ni website gani zinatakiwa zisajiriwe na ambayo hazihitaji kusajiriwa. Website kama yako unayoitumia kutoa elimu kuhusu Website /WordPress inahitaji usajiri.???
 

Hapana sijawahi kusikia sheria hiyo kwasababu, unapofanya usajili wa hosting na domain moja kwa moja unakuwa tayari umesajili kupitia iyo kampuni ya hosting/domain na kuna shirika ambalo linasimamia kila kitu linaitwa ICANN, na kodi zinakuwa zinakatwa moja kwa moja unapofanya malipo yako.

Ila kama unahitaji kufungua kampuni ambayo itakuwa inatumia Website kwa asilimia kubwa kufanya shughuli zake ni vyema ukaisajili. Otherwise Hakuna sheria itakayokufunga... Kwahiyo unapojisali kwenye Hosting / domain yako ndiyo usajili wako moja kwa moja na unakuwa unatambulika kimatafifa kabisa.
 
Gharama za Interserver zikoje kwa hosting ya mwaka mzima ukilinganisha na wengine??
 
Ushauri wangu... Usije ukatumia hiyo Freenom kwa serious project, itakusumbua tu ni bora ununue domain itakayofanya kazi zako zionekane Professional.
Naam chief ila kwa wale beginner hii hosting ni nyepesi👋 kwa mafunzo//Nina ka project kang kadogo ila nilipata domain kwa hii freenom but ilikua kwa mafunzo👉www.nicholous.tk 👈
 
Ni kwanini watu wanahangaika na coding na kuna njia ya kufanya hivyo kwa dakika kumi?.Hili swali huwa sipati jibu.
 
Ni kwanini watu wanahangaika na coding na kuna njia ya kufanya hivyo kwa dakika kumi?.Hili swali huwa sipati jibu.

Kuna kitu kinaitwa Costum Design , inamaana mtu anataka kitu ambacho ni unique sana na maalum .. Otherwise ni kupoteza muda na ni ujinga kwasababu coding kwa level ya beginner kutengeneza website nzuri kama za wordpress si kitu easy kabisa.
 
Ni kwanini watu wanahangaika na coding na kuna njia ya kufanya hivyo kwa dakika kumi?.Hili swali huwa sipati jibu.
Furaha ya kujua coding👀kutengeza kitu kwa akili yako👋👋 kuijua HTML CSS NA JavaScript mbona ukiwa na nia kwel unafikia malengo chief
 
Ni kwanini watu wanahangaika na coding na kuna njia ya kufanya hivyo kwa dakika kumi?.Hili swali huwa sipati jibu.
Mpaka kizazi chako kinapukutika codimg itaendelea kuwa palepale maana si kila developer anatengeneza website tu, na si kila siku utaletewa issue ya kuunda website afu ukimbilie WordPress, Joomla n.k some times naletewa psd nifanye conversion to html, css na is, sometimes nasogezewa web app yenye bugs kibao unafikiri utaanza kumwambia jamaa acha nikutafutie theme badala ya kurekebisha sites?.

Hii ni kujifurahisha tu, ili kukimbia wajibu. Kama unawafahamu freelancer wanaojihusisha na haya mambo waulize watakwambia why coding is needed.

Of course hivi vitu vinategemea na project unayofanya uzito gani acheni masihara.[SUP] Jingsung[/SUP]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…