Jinsi Nyerere alivyotawala kimabavu

Jinsi Nyerere alivyotawala kimabavu

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
rajab.jpg

Barazani kwa Ahmed Rajab

Ahmed Rajab

Toleo la 272
12 Dec 2012

KITU kimoja mataifa ya Magharibi yanachojivunia ni Sheria ya Haki za Binadamu (Bill of Rights). Mataifa hayo na mengine yenye kujigamba kwamba ni ya kidemokrasia halisi yameiingiza sheria hiyo katika katiba zao.
Walimwengu kwa jumla huipigania na kuitetea sheria hiyo kwa sababu wengi wao wanataka tuwe na dunia yenye kuwahakikishia binadamu wote kwamba wataishi maisha ya heshima, ya utu, yenye kuwafanya binadamu wote wawe sawa mbele ya sheria na yenye kuwapa wote uhuru.

Sheria ya Haki za Binadamu ni msingi muhimu wa mfumo wa kidemokrasia na utawala bora. Ndiyo maana tunawaona wanasiasa wengi, walio wema na hata wasio wema, wakiipigia debe sheria hiyo.
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano na ile ya Zanzibar zote zinaielezea kwa makini Sheria ya Haki za Binadamu. Katiba zote mbili zilifanyiwa marekebisho mwaka 1984 ili iingizwe hiyo Sheria ya Haki za Binadamu katika kila moja ya katiba hizo.

Wakati wa uhuru mwaka 1961 Tanganyika haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Zanzibar, kwa upande mwingine, iliwahi kuwa na mlango mzima wa Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake ya uhuru ya mwaka 1963. Katiba hiyo ilifutwa baada ya Mapinduzi ya 1964 na Zanzibar ilipoungana na Tanganyika ikawa inaitumia katiba ya Muungano ambayo kama nilivyogusia haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu.
Tanzania iliiingiza Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake miaka miwili baada ya viongozi wa nchi za Kiafrika kukutana jijini Nairobi na kuuidhinisha Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu (ACHPR) na pia kuunda Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake makuu mjini Banjul, Gambia.

Kuna sababu ya kwa nini Tanganyika (na baadaye Tanzania) haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Kwa hakika, Mwalimu Julius Nyerere na wenzake waliokuwa wakipigania uhuru wa Tanganyika hawakutaka kwa makusudi kuliingiza suala hilo katika katiba ya Tanganyika huru.

Kisingizio walichotoa akina Nyerere ni kuwa wakichelea majaji wa kikoloni ambao ndio siku hizo wakisimamia mahakama kwamba huenda wakavitumia vifungu vya Sheria ya Haki za Binadamu ili kuzisambaratisha jitihada za serikali mpya ya wazalendo za kuupatia umma maendeleo ya haraka ya kiuchumi.

Nyerere alikataa katukatu kwamba katiba ya Tanganyika ya wakati wa uhuru iwe na Sheria ya Haki za Binadamu. Alifanya ukaidi huohuo wakati katiba ya Jamhuri ya Tanganyika ilipokuwa inaandaliwa mwaka 1962. Hivyo, katiba zote hizo mbili zilimwezesha Nyerere aitawale nchi kwa mabavu kama walivyofanya wakoloni wa Kiingereza kabla yake.

Taifa jipya la Tanganyika lilifungua macho likijikuta limezirithi sheria za kimabavu. La kusikitisha ni kwamba Nyerere hakufanya jitihada yoyote ya kuzifuta sheria hizo na kuweka sheria zenye kuheshimu haki za binadamu.
Kwa hili Nyerere na Tanganyika hawakuwa peke yao barani Afrika. Nchi nyingi nyingine za Kiafrika zilikuwa na utawala uliojengeka juu ya misingi ya kimabavu na isiyoheshimu haki za binadamu.

Sheria ya Haki za Binadamu iliyoingizwa kwenye Katiba ya Muungano mwaka 1984 ilikuwa isitumike katika mahakama ya kisheria kwa muda wa miaka mitatu ili kuipa Serikali ya Muungano muda wa kutosha wa kuzifuta au kuzibadili sheria zake zote zenye kwenda kinyume na Haki za Binadamu. Hata hivyo, hatua hiyo haikuisaidia Serikali ya Muungano kuzibatilisha sheria zake zote za kimabavu.

Sidhani kama ninakosea nikisema kwamba Tanzania ilikubali kichwa upande kuiingiza Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Nasema hivi kwa sababu ingawa Sheria ya Haki za Binadamu imo ndani ya katiba za Muungano na Zanzibar bado kuna mushkili mkubwa katika utakelezwaji wake. Inavyoonyesha ni kwamba serikali imefanya kusudi iwe ngumu kwa watu binafsi kuzitetea haki zao za kimsingi katika mahakama.

Jingine ni kwamba ingawa katiba zote hizo mbili zinazitambua takriban haki zote za kiraia na za kisiasa hata hivyo kuna nyakati ambapo wananchi wanapata taabu kuzipata au wanazuiwa wasizipate haki zao. Mfano mzuri ni haki ya wananchi ya kuwa na uhuru wa kukusanyika au wa kuandamana wakati wanapotaka. Hizi ni haki za kimsingi za binadamu na uhalali wake si lazima upatikane kwa haki hizo kutajwa ndani ya katiba.
Kwa hali ilivyo Bara na Visiwani haki hizo za kukusanyika na kuandamana zinautegemea sana ukarimu wa Polisi. Wao ndio wenye kutoa kibali cha kufanyika mkutano wa hadhara au maandamano. Wakati wa maandamano Polisi wanatakiwa wawe wanasimamia usalama na amani na si wao kuanza kuichafua amani.

Kesi inayoendelea sasa Zanzibar ya washukiwa wa Uamsho imezidi kufichua jinsi serikali ya huko inavyoikiuka Sheria ya Haki za Binadamu licha ya kuwa imo ndani ya katiba zote mbili, ya Muungano na ya Zanzibar.
Sheria ya Haki za Binadamu inasema kesi ziwe zinaendeshwa kwa haraka. Lakini tukiiangalia hii kesi ya Uamsho tunaona kwamba mahakama yanasotasota katika kuiendesha.

Zaidi ni kwamba washtakiwa ingawa ni watuhumiwa na hawajapatikana na hatia hadi sasa wanatendewa mambo kana kwamba wamekwishapatikana na hatia. Wananyimwa haki zao za kimsingi wakiwa korokoroni na wanafanyiwa mambo ya kuudhalilisha utu wao. Na Bara kuna kesi chungu nzima ambazo kwa miaka mingi baada ya kufunguliwa bado hazijasikilizwa.

Swali la kujiuliza ni: Nani wa kulaumiwa pale wakubwa wa serikali wanapoukiuka huo msingi wa demokrasia halisi? Tumezoea kuwatupia lawama wakubwa wa serikali. Lakini wapo wengine ambao pia wanastahiki kuibeba. Nao ni umma, tukiwemo mimi na wewe.

Umma usiojali serikali inafanya nini au nini haifanyi inachopaswa kufanya ni umma uliopotoka na unaoweza kutiwa shemere na kubururwa kama kondoo na hao wakubwa wa serikali.
Tusitarajie kupewa haki zetu. Lazima wananchi sote tuzipiganie haki zetu zote zikiwa pamoja na zile za kutaka elimu, afya na ajira. Na hatutoweza kufanya hivyo mpaka tujipange.

Tuunde jumuiya za kupigania haki zetu, tushurutishe somo la Sheria ya Haki za Binadamu lifundishwe katika maskuli hadi vyuo vikuu. Lengo liwe kuhakikisha kwamba wananchi tusiwe na uwezo wa kusema tu bali pia tuwe na uwezo wa kuamua. Hiyo ndiyo nguvu ya Umma.
 
Na wewe itawale familia yako kimabavu basi, ni lazima tuwaze mbele Nyerere hayupo tena, tuna Kikwete sasa, hata kama angetawala kama Malaika au Kama Shetani, haisaidii kwasasa, all we need to know ni jinsi ya kutoka hapa tulipo tuendelee mbele.
Kwa Mfano, kama angetawala kama Malaika, eeehh unataka kusema leo hii Tanzania ingekuwa kama Mbingu? au ok saa ametawala kama Shetani, eheee imechangiaje leo sisi kuwa hivi tulivyo? na waliofuata baada ya hapo je? walitawala kama malaika?

Tuachane kujadili the Past, let us focus on future, think of Elimu bora, miundombinu bora na mawasiliano sahihi sio mawazo mgando
 
huyu mzee ni mpuuzi. Kila leo ni lawama kwa mwalimu. Mwache apumzike. Manyerere jackton, kwembe-kati, dar
 
Hiki unachokifanya ni sawa na kutaka kumchafua Nabii kitu ambacho ni kigumu sana kwani uwezi kugeuza imani za watu wenye imani naye. R.I.P Baba wa Taifa Mwl Nyerere Uliweza kulinda mali na rasilimali zetu lakini sasa zinatafunwa na wachache ambao kwa matakwa yako hukutaka waongoze nchi hii, tutakukumbuka daima.
 
Huyu Ahmed Rajab mwoga wa kawaida. Mbona hakuyaandika haya wakati wa Nyrerere akona ukweli? Kuna mtu alitawala kwa mabavu kama Karume? Je angekuwa yeye angetawala vipi? Bado wapo akina Rajab wanaomuogopa Nyerere hata baada ya kufa? Ameandika kwa chuki au kuweka historia vizuri? Je waliopo wanaotawala kifisadi na Nyerere aliyetawala kwa mabavu nani zaidi?
rajab.jpg

Barazani kwa Ahmed Rajab

Ahmed Rajab

Toleo la 272
12 Dec 2012

KITU kimoja mataifa ya Magharibi yanachojivunia ni Sheria ya Haki za Binadamu (Bill of Rights). Mataifa hayo na mengine yenye kujigamba kwamba ni ya kidemokrasia halisi yameiingiza sheria hiyo katika katiba zao.
Walimwengu kwa jumla huipigania na kuitetea sheria hiyo kwa sababu wengi wao wanataka tuwe na dunia yenye kuwahakikishia binadamu wote kwamba wataishi maisha ya heshima, ya utu, yenye kuwafanya binadamu wote wawe sawa mbele ya sheria na yenye kuwapa wote uhuru.
Sheria ya Haki za Binadamu ni msingi muhimu wa mfumo wa kidemokrasia na utawala bora. Ndiyo maana tunawaona wanasiasa wengi, walio wema na hata wasio wema, wakiipigia debe sheria hiyo.
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano na ile ya Zanzibar zote zinaielezea kwa makini Sheria ya Haki za Binadamu. Katiba zote mbili zilifanyiwa marekebisho mwaka 1984 ili iingizwe hiyo Sheria ya Haki za Binadamu katika kila moja ya katiba hizo.
Wakati wa uhuru mwaka 1961 Tanganyika haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Zanzibar, kwa upande mwingine, iliwahi kuwa na mlango mzima wa Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake ya uhuru ya mwaka 1963. Katiba hiyo ilifutwa baada ya Mapinduzi ya 1964 na Zanzibar ilipoungana na Tanganyika ikawa inaitumia katiba ya Muungano ambayo kama nilivyogusia haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu.
Tanzania iliiingiza Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake miaka miwili baada ya viongozi wa nchi za Kiafrika kukutana jijini Nairobi na kuuidhinisha Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu (ACHPR) na pia kuunda Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake makuu mjini Banjul, Gambia.
Kuna sababu ya kwa nini Tanganyika (na baadaye Tanzania) haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Kwa hakika, Mwalimu Julius Nyerere na wenzake waliokuwa wakipigania uhuru wa Tanganyika hawakutaka kwa makusudi kuliingiza suala hilo katika katiba ya Tanganyika huru.
Kisingizio walichotoa akina Nyerere ni kuwa wakichelea majaji wa kikoloni ambao ndio siku hizo wakisimamia mahakama kwamba huenda wakavitumia vifungu vya Sheria ya Haki za Binadamu ili kuzisambaratisha jitihada za serikali mpya ya wazalendo za kuupatia umma maendeleo ya haraka ya kiuchumi.
Nyerere alikataa katukatu kwamba katiba ya Tanganyika ya wakati wa uhuru iwe na Sheria ya Haki za Binadamu. Alifanya ukaidi huohuo wakati katiba ya Jamhuri ya Tanganyika ilipokuwa inaandaliwa mwaka 1962. Hivyo, katiba zote hizo mbili zilimwezesha Nyerere aitawale nchi kwa mabavu kama walivyofanya wakoloni wa Kiingereza kabla yake.
Taifa jipya la Tanganyika lilifungua macho likijikuta limezirithi sheria za kimabavu. La kusikitisha ni kwamba Nyerere hakufanya jitihada yoyote ya kuzifuta sheria hizo na kuweka sheria zenye kuheshimu haki za binadamu.
Kwa hili Nyerere na Tanganyika hawakuwa peke yao barani Afrika. Nchi nyingi nyingine za Kiafrika zilikuwa na utawala uliojengeka juu ya misingi ya kimabavu na isiyoheshimu haki za binadamu.
Sheria ya Haki za Binadamu iliyoingizwa kwenye Katiba ya Muungano mwaka 1984 ilikuwa isitumike katika mahakama ya kisheria kwa muda wa miaka mitatu ili kuipa Serikali ya Muungano muda wa kutosha wa kuzifuta au kuzibadili sheria zake zote zenye kwenda kinyume na Haki za Binadamu. Hata hivyo, hatua hiyo haikuisaidia Serikali ya Muungano kuzibatilisha sheria zake zote za kimabavu.
Sidhani kama ninakosea nikisema kwamba Tanzania ilikubali kichwa upande kuiingiza Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Nasema hivi kwa sababu ingawa Sheria ya Haki za Binadamu imo ndani ya katiba za Muungano na Zanzibar bado kuna mushkili mkubwa katika utakelezwaji wake. Inavyoonyesha ni kwamba serikali imefanya kusudi iwe ngumu kwa watu binafsi kuzitetea haki zao za kimsingi katika mahakama.
Jingine ni kwamba ingawa katiba zote hizo mbili zinazitambua takriban haki zote za kiraia na za kisiasa hata hivyo kuna nyakati ambapo wananchi wanapata taabu kuzipata au wanazuiwa wasizipate haki zao. Mfano mzuri ni haki ya wananchi ya kuwa na uhuru wa kukusanyika au wa kuandamana wakati wanapotaka. Hizi ni haki za kimsingi za binadamu na uhalali wake si lazima upatikane kwa haki hizo kutajwa ndani ya katiba.
Kwa hali ilivyo Bara na Visiwani haki hizo za kukusanyika na kuandamana zinautegemea sana ukarimu wa Polisi. Wao ndio wenye kutoa kibali cha kufanyika mkutano wa hadhara au maandamano. Wakati wa maandamano Polisi wanatakiwa wawe wanasimamia usalama na amani na si wao kuanza kuichafua amani.
Kesi inayoendelea sasa Zanzibar ya washukiwa wa Uamsho imezidi kufichua jinsi serikali ya huko inavyoikiuka Sheria ya Haki za Binadamu licha ya kuwa imo ndani ya katiba zote mbili, ya Muungano na ya Zanzibar.
Sheria ya Haki za Binadamu inasema kesi ziwe zinaendeshwa kwa haraka. Lakini tukiiangalia hii kesi ya Uamsho tunaona kwamba mahakama yanasotasota katika kuiendesha.
Zaidi ni kwamba washtakiwa ingawa ni watuhumiwa na hawajapatikana na hatia hadi sasa wanatendewa mambo kana kwamba wamekwishapatikana na hatia. Wananyimwa haki zao za kimsingi wakiwa korokoroni na wanafanyiwa mambo ya kuudhalilisha utu wao. Na Bara kuna kesi chungu nzima ambazo kwa miaka mingi baada ya kufunguliwa bado hazijasikilizwa.
Swali la kujiuliza ni: Nani wa kulaumiwa pale wakubwa wa serikali wanapoukiuka huo msingi wa demokrasia halisi? Tumezoea kuwatupia lawama wakubwa wa serikali. Lakini wapo wengine ambao pia wanastahiki kuibeba. Nao ni umma, tukiwemo mimi na wewe.
Umma usiojali serikali inafanya nini au nini haifanyi inachopaswa kufanya ni umma uliopotoka na unaoweza kutiwa shemere na kubururwa kama kondoo na hao wakubwa wa serikali.
Tusitarajie kupewa haki zetu. Lazima wananchi sote tuzipiganie haki zetu zote zikiwa pamoja na zile za kutaka elimu, afya na ajira. Na hatutoweza kufanya hivyo mpaka tujipange. Tuunde jumuiya za kupigania haki zetu, tushurutishe somo la Sheria ya Haki za Binadamu lifundishwe katika maskuli hadi vyuo vikuu. Lengo liwe kuhakikisha kwamba wananchi tusiwe na uwezo wa kusema tu bali pia tuwe na uwezo wa kuamua. Hiyo ndiyo nguvu ya Umma.
 
Watanganyika msijitie hamnazo,hii nchi haina haki ya binaadamu au ndio vipofu hamuoni?mnamfananisha nyerere na nabii!!
 
Sura za dizaini hii mara nyingi huwa ni za wapuuzi. Kuna jamaa mtaani anafanana na huyu, naye mpuuzi hivyo hivyo tu

rajab.jpg
 
Uhuru wa Kuandama ni Muhimu Kibali kitoke Polisi Fikiria hili watu wangepewa Uhuru wa kuandamana ovyo Hii Nchi Ingekalika Kweli?? Kuanzia ngazi ya Vijiji mpaka Miji Asimpenda Mwenye Kiti wa Mtaa angeandamana,Mkuu wa Mkoa,Balozi wa Nyumba Kumi,Mbunge,Diwani,Rais,Sheikh,Padri me nadhani Ni Sahihi Kibali Watoe Polisi Maana watu wengne wangetumia kama Mwanya wa Kufanya mambo yao ya Kishenzi, Pia Kuna Watu Haki Za Binadamu Hazitakiwi Kufatwa 7bu Mwafrika anatakiwa Aendeshwe Kiafrika Wale Uhamsho waliyoyafanya uyaoni mabaya kupandikiza Chuki Baina Ya wabara na wavisiwani,Kupandkiza Chuki Ya Ukristo Na Uislam,kusababisha Fujo Na uharibifu Wa Mali hakika Uhamsho Ni washenzi wa mashenzini, Sitasahau kwa macho yangu nawaona na Mibendera yao waliyopachika Jina la Allah huku wakifanya mambo ya kishenzi Wamebeba mapanga,Mikwaju na nondo Nmeshuhudia wanavunja Vigae Vya barabra ya Michenzani iyendayo Madema Na kuchoma Moto,nmeshuhudia siku ile Ya Ijumaa walivyokuja hapa Michenzani Na kuchoma Moto Maskani ya Ccm kushusha Bendera ya CCM iliyokarbu na Maskani ya CUF na kuiacha ile ya CUF ni Ishara kwamba Uhamsho Ndo CUf ila wameptia Mlango wa Nyuma, Hawana Haki ya kupelekewa Kesi yao kwa haraka acha wasote mavi hao, Hakika Shein na JK ni wastamirivu sana Ilitakiwa hata Shtaka wasisomewe Moja kwa Moja jela Hili linawezekana, Nchi za hao wanaleta Haki za Binadamu na wanafanya hivi, Wewe Ahmed Rajab kama Si Mchawi Bali ukizeeka utakuwa Mwanga maana wewe Ni Mnafiki kila Kitu Nyerere au alikula Tigo Yako??
KAMA WW MKWELI SEMA YA KARUME MBONA NDO ALIYEWAPA UMASIKIN NA UKOSEFU WA ELIMU,KARUME ALIWABAKA WANAWAKE NDO CHANZO CHA WANAUME KWENDA SOKONI HUKU ZANZIBAR MBONA USEMI?? KARUME AMEMBAKA MPAKA MKE WA SHEMEJI YAKE MBONA USEMI KARUME AMEUWA WATU WENGI KARUME AMEWANYIMA HAKI WAPEMBA KUSOMA KARUME HAKUTAKA MPEMBA ATAWALE MBONA USEMI?? HAO CUF(WAPEMBA98%) NDO KILIO CHAO HIKO KUITAKA KUITWAA ZANZIBAR BAADA YA KUPINDULIWA MIMI NAMPENDA MTU MKWELI ASIYE MNAFIKI WAZANZIBAR WENGI HILI WANALISEMEA PEMBEN TU SEMA KWELI JAPO CHUNGU BWANA MKUBWA SIO UNATOA MACHO KAMA MRISHO MPOTO
 
Sasa jazba na matusi ya nini?muandishi katoa hoja na vielelezo vyote kwenye post yake wewe unakurupuka na matusi,jadili hoja za muandishi usikurupuke.
 
Nendeni mkakazane kwenye mikarafuu, sio kila kukicha Nyerere kafanya hivi, mara Nyerere alifanya vile. Unajua nyie Wapemba mna shida sana ndio maana Karume aliamua msisome mkabakia kuzaa kama machine. Tulizeni hayo madomo yenu, mwacheni mzee wetu apumzike baada ya utumishi uliotukuka kwa Taifa hili.
 
Sura za dizaini hii mara nyingi huwa ni za wapuuzi. Kuna jamaa mtaani anafanana na huyu, naye mpuuzi hivyo hivyo tu

rajab.jpg
Inaonesha dhahiri watanganyika mmechanganyikiwa,kuendelea kuwemo kwenu kwenye muungano huu ni sawa na kuwa mnabariki utawala wa ccm uendelee kuwepo,na mkiiondoa ccm watanganyika mshakuwa huru na zanzibar mzizi wa fitna utakuwa umemaliza.tafakari!
 
Huwezi kuwa huru kama huna akili. Sema mnataka mwarabu aje awape tende na nyie msifanye kazi, ibakie kukaa vibarazani mkicheza zumna.

CCM tutaing'oa na huo mkoa mmoja tutaufurusha mbali. Kwanza iweje mkuu wa mkoa wenu awe na makamu, tena wawili
 
pumba tupu...sijaona la maana hapa...MUWACHENI MZEE WA WATU APUMUWE HUKO ALIKO...........
 
Hapumui,kenya wanataka mlima wao wa kilimanjaro,uganda wanataka kagera yao,malawi wanataka ziwa lao,waz'br wanataka nchi yao,wamebaki watanganyika tu hawaitaki tanganyika yao.
 
rajab.jpg

Barazani kwa Ahmed Rajab

Ahmed Rajab

Toleo la 272
12 Dec 2012

KITU kimoja mataifa ya Magharibi yanachojivunia ni Sheria ya Haki za Binadamu (Bill of Rights). Mataifa hayo na mengine yenye kujigamba kwamba ni ya kidemokrasia halisi yameiingiza sheria hiyo katika katiba zao.
Walimwengu kwa jumla huipigania na kuitetea sheria hiyo kwa sababu wengi wao wanataka tuwe na dunia yenye kuwahakikishia binadamu wote kwamba wataishi maisha ya heshima, ya utu, yenye kuwafanya binadamu wote wawe sawa mbele ya sheria na yenye kuwapa wote uhuru.
Sheria ya Haki za Binadamu ni msingi muhimu wa mfumo wa kidemokrasia na utawala bora. Ndiyo maana tunawaona wanasiasa wengi, walio wema na hata wasio wema, wakiipigia debe sheria hiyo.
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano na ile ya Zanzibar zote zinaielezea kwa makini Sheria ya Haki za Binadamu. Katiba zote mbili zilifanyiwa marekebisho mwaka 1984 ili iingizwe hiyo Sheria ya Haki za Binadamu katika kila moja ya katiba hizo.
Wakati wa uhuru mwaka 1961 Tanganyika haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Zanzibar, kwa upande mwingine, iliwahi kuwa na mlango mzima wa Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake ya uhuru ya mwaka 1963. Katiba hiyo ilifutwa baada ya Mapinduzi ya 1964 na Zanzibar ilipoungana na Tanganyika ikawa inaitumia katiba ya Muungano ambayo kama nilivyogusia haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu.
Tanzania iliiingiza Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake miaka miwili baada ya viongozi wa nchi za Kiafrika kukutana jijini Nairobi na kuuidhinisha Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu (ACHPR) na pia kuunda Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake makuu mjini Banjul, Gambia.
Kuna sababu ya kwa nini Tanganyika (na baadaye Tanzania) haikuwa na Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Kwa hakika, Mwalimu Julius Nyerere na wenzake waliokuwa wakipigania uhuru wa Tanganyika hawakutaka kwa makusudi kuliingiza suala hilo katika katiba ya Tanganyika huru.
Kisingizio walichotoa akina Nyerere ni kuwa wakichelea majaji wa kikoloni ambao ndio siku hizo wakisimamia mahakama kwamba huenda wakavitumia vifungu vya Sheria ya Haki za Binadamu ili kuzisambaratisha jitihada za serikali mpya ya wazalendo za kuupatia umma maendeleo ya haraka ya kiuchumi.
Nyerere alikataa katukatu kwamba katiba ya Tanganyika ya wakati wa uhuru iwe na Sheria ya Haki za Binadamu. Alifanya ukaidi huohuo wakati katiba ya Jamhuri ya Tanganyika ilipokuwa inaandaliwa mwaka 1962. Hivyo, katiba zote hizo mbili zilimwezesha Nyerere aitawale nchi kwa mabavu kama walivyofanya wakoloni wa Kiingereza kabla yake.
Taifa jipya la Tanganyika lilifungua macho likijikuta limezirithi sheria za kimabavu. La kusikitisha ni kwamba Nyerere hakufanya jitihada yoyote ya kuzifuta sheria hizo na kuweka sheria zenye kuheshimu haki za binadamu.
Kwa hili Nyerere na Tanganyika hawakuwa peke yao barani Afrika. Nchi nyingi nyingine za Kiafrika zilikuwa na utawala uliojengeka juu ya misingi ya kimabavu na isiyoheshimu haki za binadamu.
Sheria ya Haki za Binadamu iliyoingizwa kwenye Katiba ya Muungano mwaka 1984 ilikuwa isitumike katika mahakama ya kisheria kwa muda wa miaka mitatu ili kuipa Serikali ya Muungano muda wa kutosha wa kuzifuta au kuzibadili sheria zake zote zenye kwenda kinyume na Haki za Binadamu. Hata hivyo, hatua hiyo haikuisaidia Serikali ya Muungano kuzibatilisha sheria zake zote za kimabavu.
Sidhani kama ninakosea nikisema kwamba Tanzania ilikubali kichwa upande kuiingiza Sheria ya Haki za Binadamu katika katiba yake. Nasema hivi kwa sababu ingawa Sheria ya Haki za Binadamu imo ndani ya katiba za Muungano na Zanzibar bado kuna mushkili mkubwa katika utakelezwaji wake. Inavyoonyesha ni kwamba serikali imefanya kusudi iwe ngumu kwa watu binafsi kuzitetea haki zao za kimsingi katika mahakama.
Jingine ni kwamba ingawa katiba zote hizo mbili zinazitambua takriban haki zote za kiraia na za kisiasa hata hivyo kuna nyakati ambapo wananchi wanapata taabu kuzipata au wanazuiwa wasizipate haki zao. Mfano mzuri ni haki ya wananchi ya kuwa na uhuru wa kukusanyika au wa kuandamana wakati wanapotaka. Hizi ni haki za kimsingi za binadamu na uhalali wake si lazima upatikane kwa haki hizo kutajwa ndani ya katiba.
Kwa hali ilivyo Bara na Visiwani haki hizo za kukusanyika na kuandamana zinautegemea sana ukarimu wa Polisi. Wao ndio wenye kutoa kibali cha kufanyika mkutano wa hadhara au maandamano. Wakati wa maandamano Polisi wanatakiwa wawe wanasimamia usalama na amani na si wao kuanza kuichafua amani.
Kesi inayoendelea sasa Zanzibar ya washukiwa wa Uamsho imezidi kufichua jinsi serikali ya huko inavyoikiuka Sheria ya Haki za Binadamu licha ya kuwa imo ndani ya katiba zote mbili, ya Muungano na ya Zanzibar.
Sheria ya Haki za Binadamu inasema kesi ziwe zinaendeshwa kwa haraka. Lakini tukiiangalia hii kesi ya Uamsho tunaona kwamba mahakama yanasotasota katika kuiendesha.
Zaidi ni kwamba washtakiwa ingawa ni watuhumiwa na hawajapatikana na hatia hadi sasa wanatendewa mambo kana kwamba wamekwishapatikana na hatia. Wananyimwa haki zao za kimsingi wakiwa korokoroni na wanafanyiwa mambo ya kuudhalilisha utu wao. Na Bara kuna kesi chungu nzima ambazo kwa miaka mingi baada ya kufunguliwa bado hazijasikilizwa.
Swali la kujiuliza ni: Nani wa kulaumiwa pale wakubwa wa serikali wanapoukiuka huo msingi wa demokrasia halisi? Tumezoea kuwatupia lawama wakubwa wa serikali. Lakini wapo wengine ambao pia wanastahiki kuibeba. Nao ni umma, tukiwemo mimi na wewe.
Umma usiojali serikali inafanya nini au nini haifanyi inachopaswa kufanya ni umma uliopotoka na unaoweza kutiwa shemere na kubururwa kama kondoo na hao wakubwa wa serikali.
Tusitarajie kupewa haki zetu. Lazima wananchi sote tuzipiganie haki zetu zote zikiwa pamoja na zile za kutaka elimu, afya na ajira. Na hatutoweza kufanya hivyo mpaka tujipange. Tuunde jumuiya za kupigania haki zetu, tushurutishe somo la Sheria ya Haki za Binadamu lifundishwe katika maskuli hadi vyuo vikuu. Lengo liwe kuhakikisha kwamba wananchi tusiwe na uwezo wa kusema tu bali pia tuwe na uwezo wa kuamua. Hiyo ndiyo nguvu ya Umma.

Huyu mzee namsoma mara nyingi, lkn anadalili zote za kuchanganyikiwa, sometimes hujibishia yeye mwenyewe!!
 
Sasa jazba na matusi ya nini?muandishi katoa hoja na vielelezo vyote kwenye post yake wewe unakurupuka na matusi,jadili hoja za muandishi usikurupuke.

Unataka ni mjibu kwa mashahiri ya taharabu? Nimshamjibu Ju ya Kibali cha kuandamana na kwa kuwa anamshupalia Nyerere juu ya ubaya nikampa Ubaya wa Kiongozi wake ambaye yeye anayajua ila hayasemi Jazba ziko wapi?
 
this guy is the biggets coward, wakati wazanzibari na watanganyika wako bize kujiletea maendeleo yao enzi hizo za shida kubwa wakihangaika na jembe la mkono huyu jamaa alikua anakaa london akiwa brainwashed to raha za west!!!! kwa kigezo icho tu hata atachoongea kina kosa nguvu ya kizalendo amekulia kule kwenye utamaduni wa watu wanaozungumza kama makasuku tu bila kuangalia hali halisi!!!!!
 
Back
Top Bottom