Jinsi punyeto na kujichua sehemu za siri Kunavyokuunganisha na ulimwengu wa kuzimu

Hiyo nayo ni punyeto.​
Unavyoota unato*** alaf unaona umechafua shuka ni punyeto? Mdoli unatia mdoli huumizi dyudyu yako kwa kweli, ila kama una demu wako huna haja ya mdoli, na kama mademu wanakusumbua ni bora ukawa na mdoli kuliko kujichua hata wale kataa ndoa inawafaa
 
Tunadanganyana sana na hii elimubya mkoloni.aliesema hivi yeye alijuaje?
Kuzimu ndiyo wapi?
Nani alikwenda akarudi akasema kuzimu kukoje ? Na kama alikwenda alijuaje huko ni kuzimu? Na alijuaje kama anakwenda na nani alimwambia? Na alimwambia nae nani alimwambia?
Tiache kufanganyana aisee,
Wacha mtu Aishi apendavyo ili mradi javunji Sheria za nchi basi.
 
Aiseee
 
Haya maneno si ya kubeza tukubali kwamba kuna ulimwengu wa kiroho na ulimwengu huu wa kimwili.Na maneno ya Mungu yanaashiria ulimwengu wa kimwili ilitokana na ulimwengu wa kiroho katika uumbwaji wake.Inatupasa kusoma neno la Mungu ili tupate hekima ya kutambua mambo.
 
Amen Mtumishi wa Mungu
 
Kwa kweli nimeamini pombe sio chai, nawapenda sana watu wa JF utani mwingi lakini ni wepesi kuomba msamaha, yaan wanapenda kumuona kila mtu akifurahia hili jukwaa, najisikia niko sehemu sahihi ❤️
Kabisa ,wala usijali maneno wewe songa mbele tu.
 
Haya mambo ya kuzimu na mbinguni ndo yanafanya hadi leo 2025 tuko maskini sana. PUNYETO ina madhara ila ni upuuzi mtupu kuihusisha na mambo ya kiroho. Kwa mfano ukizidisha kula chapati rost nyama utapata madhara ya unene kupitiliza. Je, nayo ina uhusiano na kuzimu?
 
Hiyo nayo ni nyeto tofauti ni style tu
 
Mmh!
Bila shaka nina watoto wengi sana kwenye huo ulimwengu afu chaajabu simjui hata mmoja, yaani dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…