Jinsi punyeto na kujichua sehemu za siri Kunavyokuunganisha na ulimwengu wa kuzimu

Tafsiri rahisi ya kiroho, fikira hazionekani kwa macho lakini kila unachofanya lazima kiruhusiwe na fikira zako njema au mbaya.Au dhambi haionekani kwa sababu inakaa ndani ya moyo wa mtu.Lakini matokeo wa dhambi huonekana kwenye mwili kwanjia ya matendo.Kwa hiyo ulimwengu wa kiroho upo ila haunekani kwa macho na ni supreme kuliko ulimwengu wa mwili.Ndo maana hatutakiwi kuumiza miilli kwa mapanga kwa mtu aliyeiba au kufumaniwa kwa sbb miili inatekeleza tu yale roho inayotaka.Ndo maana tulipewa amri za kuwasamehe hata maadui zetu
 
Unavyoota unato*** alaf unaona umechafua shuka ni punyeto? Mdoli unatia mdoli huumizi dyudyu yako kwa kweli, ila kama una demu wako huna haja ya mdoli, na kama mademu wanakusumbua ni bora ukawa na mdoli kuliko kujichua hata wale kataa ndoa inawafaa
Tafuta mwanamke, fanya nae ngono salama. Haya mengine yote ni kumtengenezea mwanaume mazingira ya udhaifu. ​
 
Tafuta mwanamke, fanya nae ngono salama. Haya mengine yote ni kumtengenezea mwanaume mazingira ya udhaifu. ​
Watu wangekuwa wanakuelewa wasingekuwa wanatelekeza watoto maana wasingekuwa wanazaa bila mpangilio. Binafsi napenda mtu anaefanya ngono salama kwa kujikinga afya na mimba isiyopangwa. Umeongea vzr rfk❤️
 
Kupiga nyeto ni saw na kufanya mauaji makubwa maana unatoa sperms ambazo ni mtu kabisa unakatisha maisha yake,Kuna watu wameoza akili sio bure
 
Wa kike bei shingap?
Bora mdoli unakuwa na mafuta yako durex au waterbase lubricants ukihitaji nicheck nikuelekeze, huumizi mishipa na huwezi jikuta unapungukiwa nguvu, mdoli ni tofauti na kujichua
 
ACHENI UONGO PUMBAVU NYINYI, KUKISUGUA KIUNGO FULANI KWENYE MWILI WAKO KUNA KUUNGANISHA VIPI NA ULIMWENGU USIOONEKANA
Mda mwigine kinajisugua chenyewe kwenye suruali. Mda mwingine mtu unaota.
Vyanzo vingine vya watalaamu wa kiafya vinashauri mtu afanye punyeto walau mara moja kwa mwezi.
 
Sijasoma habari ya huyu jamaa. Yote Je ameeleza huo uhusiano na kwa wanyama wengine ?

Ananua hata wadudu wanadinyana. Hio uunganifu ipo na kwa wanyama, ndege na mimiea ? Au ndio kulishana matango
 
Kupiga nyeto ni saw na kufanya mauaji makubwa maana unatoa sperms ambazo ni mtu kabisa unakatisha maisha yake,Kuna watu wameoza akili sio bure
kuvaa condom Kisha kuitupa chooni baada ya kazi Kuna tofauti gani na nyeto?
 
Wavaa condom wana tofauti gani na wapiga nyeto?
 
Punyeto haijaandikwa mahali popote katika Biblia,halafu kama ni hivyo mbona huyu kiumbe binaadamu aumbwe na matamanio na nyege juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…