Jinsi punyeto na kujichua sehemu za siri Kunavyokuunganisha na ulimwengu wa kuzimu

Punyeto haijaandikwa mahali popote katika Biblia,halafu kama ni hivyo mbona huyu kiumbe binaadamu aumbwe na matamanio na nyege juu?
Punyeto halifanyiki bila kutamani.Na biblia inasema ukimtamani mwanamke moyoni mwako tayari umezini. Tatizo ni kutamani
 
Ahsante mpenzi, naelewa uchungu ulionao kwa nchi yako
 
Wet dreams tunaiweka kundi gani?

Uasherati je?

Kijamiiana na mkeo mkiwa hamna lengo la kuzaa?

Hizi zote ni wastage of sperm? Majina tu yamebadilika. Ni kama kumuita Abdala, dula.

Shahawa zikimwaga huonekana sasa hao majini wanazichukuaje. Sio chai hii mtoa mada?
 
dhambi za siri
 

Attachments

  • IMG_20260427_144426_111.jpg
    328.9 KB · Views: 9
  • IMG_20260427_144437_988.jpg
    334.8 KB · Views: 10
  • IMG_20260427_144447_159.jpg
    357.6 KB · Views: 10
  • IMG_20260427_145259_293.jpg
    263.4 KB · Views: 9
  • IMG_20260427_145307_627.jpg
    288.8 KB · Views: 10
  • IMG_20260427_145414_064.jpg
    272 KB · Views: 11
  • IMG_20260427_145546_808.jpg
    254.6 KB · Views: 10
  • IMG_20260427_145638_379.jpg
    303.4 KB · Views: 11
  • IMG_20260427_145703_695.jpg
    259.3 KB · Views: 10
  • IMG_20260427_145904_712.jpg
    287.8 KB · Views: 9
Na ukisex na mtu siyo mumeo au mkeo unabeba nafsi za huyo mtu. Haya ss na ukichukua sheria mkonini ndo hivyo majini km yooote. Ss sijui bora lipi aisee.
 
Puli ni mnbbaya sana vijana wa kiume acheni.
 
sasa nini kifanyike kwa wapiga nyeto
unawasaidiaje sasa hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…