Jinsi rafiki mhuni wa Malcom X "Sammy The Pimp" alivyokuwana anapata makahaba wa kuwauza.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nip kwenye kutafsiri kitabu cha Malcom X, jamaa maishani mwake kapitia uhuni mwingi sana. Pia alikuwa na marafiki wahuni balaa. mmoja wa rafiki yake huyu aliitwa Sammy The Pimp(Kuwadi Sammy). Hivi ndivyo alikuwa akipata makahaba wa kuwauza.

Sammy alikuwa amempa mimba msichana mmoja huko kwao Paducah, Kentucky. Wazazi wa msichana huyo walikasirika sana hadi ikambidi Sammy kukimbilia Harlem, alipofika alipata kazi kama mhudumu mgahawani. Alikuwa akiangalia mwanamke aliyekuja kula akiwa peke yake, baada ya kugundua kuwa hajaolewa wala haishi na mtu, alifanya mbinu kumzoea. Haikuwa vigumu kwa mtu mjanja kama Sammy kukaribishwa nyumbani kwa mwanamke. Alipofika aliomba kwenda nje mara moja kununua chakula, na alipotoka alienda haraka kuchongesha funguo ya pili. Siku alipofahamu kuwa mwanamke yule amesafiri, alienda na kukomba vitu vyake vya thamani vyote. Kisha baada ya hayo alijitolea kumsaidia pesa kidogo kuanza upya. Huo ulikuwa mwanzo wa utegemezi wa kifedha na kihisia ambao Sammy alijua kuuendeleza hadi mwanamke yule alipokuwa kama mtumwa wake.
 
Alikuwa anajua sana kujiongeza huyo mwamba.
 
Autobiography ya malcolm.X n kati ya vitabu bora zaidi.
I like the way ameelezea transition yake from "Red" hadi kuwa brother malcolm.
 
Na kimeandikwa kwa njia style nzuri sana.
 
Yes. Hicho, na kile cha roots cha alex hailey. Very nice.
Kuna mama wa kichina ameansika kitabu kinaitwa "the cooked seed" anaelezea story yake frm china mpka kufika na kuishi marekani. Bonge la kitabu
 
Back
Top Bottom