Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Si ndio inaitwa penadu
 
Hatari Sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh noma sana
 
Si ndio inaitwa penadu
Hapana, Penadu ni ingine mkuu nayo ni ya ******* tu watu huwa hawamalizi dose yake make unadungwa ile sindano inachomolowa huku naww umeanza kutoa machozi [emoji23]
 
Hapana, Penadu ni ingine mkuu nayo ni ya ******* tu watu huwa hawamalizi dose yake make unadungwa ile sindano inachomolowa huku naww umeanza kutoa machozi [emoji23]
😂😂😂
 
Hapana, Penadu ni ingine mkuu nayo ni ya ******* tu watu huwa hawamalizi dose yake make unadungwa ile sindano inachomolowa huku naww umeanza kutoa machozi [emoji23]
Sema wanadai ndio komesha ya gono
 
Sema wanadai ndio komesha ya gono
Hapana mkuu! Penadu ni sindano ya pepopunda (Tetanus). Ni sindano ya chanjo inayotolewa ili kuzuia maambukizi ya bakteria wa Clostridium tetani wanao sababisha Tetanus, ambao huingia mwilini kupitia majeraha (vidonda) ambao husababisha misuli kukakamaa vibaya sana....
 
Ok
Ndio maana watoto walio pata hii chanjo zamani wengi wamelemaa mguu mmoja, hiyo sindano sio mchezo
 
Hivi Gono ukipiga nyapu muda huo huo lina react ?
Sio kwamba ulikua na Gono kabla limejitunza mwilini , siku hiyo uliliamsha tu.
Maana nakua na mashaka kama leo leo umegegeda leo leo liamke.
 
Hivi Gono ukipiga nyapu muda huo huo lina react ?
Sio kwamba ulikua na Gono kabla limejitunza mwilini , siku hiyo uliliamsha tu.
Maana nakua na mashaka kama leo leo umegegeda leo leo liamke.
Kwa mwanamke linakula internally na anaweza kua nalo hata miezi kadhaa linamtafuna tu bila ye kujua huko ndani ila kwa mwanaume ukitembea na huyu demu mwenye dude hilo ni masaa tu linaleta shida... That's why mwanaume ukienda hos kutibu wanakuomba umlete na aliekuambukiza kwa sabu yeye wakati huo hajijui kama ana gono so kupitia wewe ndo atajua kua yeye ndo analo kama atakubali kutoa ushirikiano make mademu wengi wenye gono huwa hawakubali ukweli uki mtuhumu kwamba ye ndio kakuambukiza inaweza leta ugomvi baina yenu..
 
H
Hivi chanza haswa cha huu ugonjwa haswa ni nini?
 
Kiongozi tunaomba formula, ajali kazini ni nyingi na hatujui kesho yetu
 
Ina
Inaitwa benzathine penicillin au penadu 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…