Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Goni ni Hatari sana mkuu,
Sijawai kulikwaa Ila Kwa hizi harakato zangu, natumia IPO siku ntalikwaa

Najiandaa kisaikolojia
We listen but we don't judge 😁😁😁😁🙌🙌
 
No,ile formula ya utumiaji dawa nilishaiandika kwenye diary. Just in case,
niandikie hapa mkuu kwa faida ya wote, ila hapa mim pia ni mhanga nimeoa hata mwenz haujaisha nikawa nahsi dariri kama tajwa hapo.
Nipe mbinu mkuu, nimetumia dawa znadunda, nmeongea nae mke amekili kweli aliambukizwa kitambo alitumia dawa na dawa bila mafanikio.
 
Dah so sad huyo siyo mke mkuu
 
moro wanaita KISAMAKI
 
Nimeruka na watoto wengi sana tangu niko chuo, lakini sijawahi kupata hii kitu, naendelea kujilinda na kuchukua taadhari
 
Mkuu binadamu hatukomi. Juzi tena nikauza mechi. Tumeumbiwa kusahau
Wa kuuza ni wa kuuza tu, na kuvaa ni wa kuvaa tu, Trust me, hiyo haitakuwa mara yako ya mwanzo na ya mwisho.

Mimi pia nipo kwenye fungu la kuuza ila ninamshukuru Muumba hadi leo nipo salama. Baada ya kujigundua ni wa kuuza na c...nd..m is not my thing, huwa sichezi hivyo! Na mtu ninayecheza naye lazima nichukukue muda wa kumfahamu na kupima mara kadhaa.
 
Jobless_Billionaire Unataka ndugu yako hadi ikatike dudu?
Nimenunua
Doxy
Ciplo
Metronidazole na amoxiline. Ndo natumia ila naona ufanisi kama mdogo hvi
 
Ushuhuda.
Dawa ya gono iliyoniponesha.

Vidonge
Chloramphenical 2×2 per 14day.

Unachemsha na mizizi ya;-
  • Papai dume
  • Makale

utakua unakunywa mara kwa mara fanya ndo maji ya kunywa.
Kwa wiki mbili.

Active Cookie Boqin uzi huu muunganishe kwenye uzi kwa waombao msaada wa tiba ya magonjwa ya zinaa.
 
Mkuu huyo demu ulimlaumu bule tu ni kwamba dawa ulizokua unapewa sio dawa sahihi Bali ulikua unapewa dawa feki,kwa sababu kila dawa Ina feki yake
 
🤣🤣🤣🤣🤣🦠🦠🦠🦠

Polee mkuu sema.sio ya kicheka maana najua maumivu yake hasa Ngomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…