Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Guys, katika harakati zetu kinga iwe ndio kipaumbele aisee. Unakuta mtu yupo na rapid test yake wanapima HIV inasoma negative, anauza mechi anaishia kupata STIs kama hizo za kina gono, pangusa na mengineyo. Let us be careful
 
I second this
 
24 June 2026

Hali ya Kisonono huko Michigan ni ya Kukufanya Uchanganyikiwe kinoma

Gonorrhea Situation In Michigan Is Insane

View: https://m.youtube.com/watch?v=5hwKcp2NjyEMaumivu ya shingo ^
Kuogopa mwanga wa jua au taa >
Miwani ya jua kwa sana *
kuchanganyikiwa ^
kutembea kwa kunyumba *
Blood pressure ^
Fever homa ^
White blood cells ^
CSF yellow cloudy
Sugar ^
Protein ^
Penicillin ×
Tetracycline ×
Z-Pak ×
Etc
Source : Chubbyemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…