Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Pole sana mkuu, nahisi ulipata mycoplasma genitalium. Watu wengi hawajui kuhusu ugonjwa huu Ila ni ugonjwa mmoja hatari sana.

Mke wangu ni daktari, na katika story nazosikia kwake this is another super bug bacteria ambaye watu hata hawajui, ila shughuli yakeee eeeh Acha kabisaaa!
 
Umesharipoti kwa mwenyekiti wa Mtaa unaoishi kwamba kuna kiumbe amekudhuru kiafya ?
 
Haya mambo yana formula mpaka likukute jambo.

Mimi nilikula Mfamasia ambaye niliamini anajielewa, alikuwa best student darasani kwao.

Nimepiga usiku na kesho yake asubuhi, mpaka inafikia jioni siwezi kukojoa. Nikawahi hospital wakakuta UTI.

Nilim-block kote. Mpaka leo sitaki hata kumsikia.
 


Kama hali ipo hivi Kumbe tulioshinda zinaa tunaepuka mengi sana 😁😁

Glory to lord πŸ™πŸ™
 
Dah kweli mganga hajigangi, kuna mmoja ni vile tu nina koromea na natunza siri za watu, ila kaliniboa sana kale ka dr.

Nikabaki najiulize huyu health practitioner, mbona hata mimi Layman namzidi kwenye kujali afya.
 
Hahahahahhhh... Hii inaitwa tapeli katapeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…