Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Wanaume hamjali afya zenu kabisa
Tunajali, ni ajali kazi
Dah kweli mganga hajigangi, kuna mmoja ni vile tu nina koromea na natunza siri za watu, ila kaliniboa sana kale ka dr.

Nikabaki najiulize huyu health practitioner, mbona hata mimi Layman namzidi kwenye kujali afya.
Alikufanya nini mkuu
 
Wewe unacheza na Mbulu United?
 
Thanks kwa fundisho zuri na ushauri
 
Hiyo mycoplasma genitalium siyo hatari kivile, kwanza hainaga hata dalili za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…