Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Pole sana mkuu

Makosa ya penalties ni hatari
 
Kumblock si kumaliza tatizo. Siku ukikutana nae utamchapa tena. Hapo kistaarabu ungemwambia hali uliyo nayo akafanye utaratibu wa kutibiwa na yeye. Na ndo uone wanawake walivyo na mshipa. We ukigusa tu. Hilo. Ila wao,akhaaa. Zakumbukaga mshenzi mmoja nilipima oil, lakini akanikatalia kuingiza. Mazingira hayakuwa rafiki. Nikaishia tu juu ya chupi,lakini unyevunyevu ule,acheni tu. Ikawa we andaa mazingira nikupe. Saa kumi na moja natoka,balaa. Sijafanya chochote hata. Saa nane, boxer imejaa. Najua ni hali itaisha. Baada ya siku nne, nikaamua kwenda Pharmacy. Kitu kimevimba hicho,af uchafu sasa, naweka kikotex na kinajaa. Nkasema nakufa *****. Jama famasi anauliza nilichapa, mi nakataa. Na yeye anagoma majibizano yakawa makali. Ndo akaja niambia hata ungepima oil,na kujigusa tuuu, achana na kuishia kwenye chupi,bado ungeondoka nalo(gono). Ila alinifunza akili moja. Ukipima oil,nusa. Kama harufu haieleweki, susa. Ila ile kitu inatesa jamani. Tena ukiwa hujui!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…