Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

Pole sana Gono sugu huwa linasumbua dana kaka.
 
Mkuu tatizo huwa wanakuwa wakali halafu hawakubali kama wana tatizo. Wanaweza kuanza kukwambia umecheat ukapatia nje
 
Umenikumbusha mbali hii story kama yangu!Ila tukome michepuko,Bora wewe kwa Sasa Kuna boxer,zamani chupi inabana balaa,Inabidi utembee bila chupi!
 
Tupe sawa yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…