Heshima kwenu wadau. Kwa muda mrefu sasa tumeshuhudia club ya Simba ikichechemea katika ligi kuu soka Tanzania bara.
Nimejaribu kurejea nyuma nikagundua kitu. Yaani timu ya Libolo ya Angola ilifanya unyanyasaji wa hali ya kuu kwa kuipiga timu ya cmba goli 4-0.
Tangu hapo simba haifanyi vizuri kwenye VPL, Ikumbukwe kuwa unyanyasaji huo ulitokea March 3, 2013 na tangu mwaka huo mambo hayaja inyookea timu ya Simba. Kwakweli walicho kifanya Libolo si kitendo cha kiungwana na hakivumiliki.
Simba angalieni namna ya kujinasua la sivyo mwaka huu mnashuka daraja.