Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OKy sawa ila sio mwandishi mzuri.Eleza
Kubadilika kwa usumaku kunatokeaje, naam inakuwaje?OKy sawa ila sio mwandishi mzuri.
Hapo kwenye sumaku kuna mzungusho wa nyaya ( windingi ) , ambazokukitokea kutata au kubadilika kwa usukaku kwenye izo nyaya kutazaliwa umeme , ambao utaenda moja kwa moja kwenye taa na kuwasha
Nitajaribu , sikuzote kifaa kikiwa kinatumika iwe redio , Tv , Feni kunakuwa hakuna constant flow ya umeme .. hivyo hivyo katika spika iyo ...ambayo itasababisha kubadilika kwa magnetic fields of lines. ( ni mawazo kutokana na elimu ndogo niliyo nayo )Kubadilika kwa usumaku kunatokeaje, naam inakuwaje?